Polisi vs CAG: Nani ni nani na nani afanye nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi vs CAG: Nani ni nani na nani afanye nini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zing, Jul 26, 2011.

 1. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Wakuu kuna jambo linanitatiza.

  Ni kuhusu muundo au mfumo na utaratibu wa nini kinatakiwa kufuatwa baada ya kashfa, wizi au rushwa kugundulika sehemu mbali mbali hasa kwenye idara na wizara serialini.

  • Kuna matukio yakitokea Polisi moja kwa moja wanaingia kazini tena jamaa aliyekuwa anaongoza idara ya masuala haya anaitwa Kasala sijui kama bado anaendelea ..............
  • Kuna matukio yakitokea tunasikia Serikali inaagiza CAG afanye uchunguzi .......

  Binafsi naona CAG au tume inahusika pale ambapo wahusika wakuu ni vigogo watendaji wakuuu na wanasiasa wa ngazi za juu. Polisi wao watafanya uchunguzi kama inahusu waina sie ....... je hili Ni sawa.

  • Kwa nini mpaka sasa hivi Polisi haijawawahoji hao walituma hio Pesa na kila jairo.? Je utaratibu huu ni sawa?
  • Kwa nini Jukumu la ucngui apewe CAG na sio takukuru au Polisi?
  • Je hakuna muingilinoa wa majukumu kati ya ofisi ya CAG na Polisi na Takukuru.?
  • Ni kitu gani kinatakiwa kufanya tigger polisi wafanye uchunguzi? Ni mpaka waagizwe au kwa manufaa ya umma wanaweza kuamua kufuatilia na kuhoji mtu yeyote na jamb lolote ?
  Nawasilisha kwa kueleweshwa
   
 2. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,593
  Likes Received: 18,579
  Trophy Points: 280
  Zing, matukio yanayohusisha polisi moja kwa moja ni yale ya uhalifu, criminal. Matukio kama la Jairo, linahusisha ukaguzi, jee taratibu zilifuatwa, jibu litakuwa yes, barua ziliandikwa. Je fedha zilikusanywa?, zitaonekana ziliingia A/C ya GIS. Swali litafuatia, jee zilitumika kwa shughuli iliyokusudiwa, vocha za GIS zitaonyesha. Baada ya hapo, CAG ataandaa ripoti yake na kumkabidhi CS, huku ikiandamana na ushauri, maoni na mapendekezo. Baada ya hapo kama kuna issues ya rushwa, Takukuru ata take over, kama kuna issue ya criminal, polisi watatake over, kama kuna matumizi mabaya ya madaraka, DPP atawasimamisha kizimbani. Kama hakuna issue, Jairo atamalizia kipindi chake kifupi kilichobakia kwenye utumishi wa umma, 2014, atateuliwa balozi nchi moja ya neema na biashara ya ulaji kuku kwa mrija kuendelea mpaka.
   
 3. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kwanza hakuna hata mmoja mwenye credibility! Ni usanii tu hapa...
   
 4. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #4
  Jul 26, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Pasco aksante ila

  • Ina maana kinga ni utaribu kufuatwa.? je vipi kama utaratibu umefuatwa lakini kunaonekana kuna harufu ya rushwa. Ndio maana nahoji. Kati ya Polisi au TAKUKURU walitakiwa wame wameshaingia kazini kwa issue hii mtazamo wangu.
  • Unaposema TAKUKURU ata take over kama kuna issue ya criminal ina maana pesa ziifujwa serikialini anayeamua kama ni crime au sio ni CAG?
   
 5. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #5
  Sep 2, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Hii habari uhusu vyombo vya usalama USA taasisi za seriali yetu zinaweza kujifunza . Inaoneka akwneeye taasisis zetu kuna competition ya nani afanye nini

  Soma zaidi DailyTech - Federal Agencies Agree to Work Harmoniously for Cyber Security
   
Loading...