Polisi, video ya Sheikh Ilunga na ya Lwakatare ipi inajieleza? Sheikh Ilunga yuko wapi?

saf sana jeshi la polisi, endeleni kumshikilia huyo mpanga mauaji na asitoke rumande, mshikisheni adabu iwe fundisho kwa wengine! na atayetoka kuandamana ataungana nae uko rumande! pumbaf.

Huu ndiyo mwisho wako wa kufikiri?.... Elimu ya madrasa ni mzigo!
KUTOMKAMATA USTAADHI ILUNGA NI UUAJI NA UNYAMA!... KUTOMKAMATA ILUNGA NI UDINI MBAYA KUPINDUKIA!....

MAAGIZO YA ILUNGA kwa waislamu kuua wakristo yangekuwa yamefanywa na mkristo dhidi ya waislamu ISINGECHUKUA HATA MASAA 6 angekamatwa!!!!!!... LAKINI SASA NI MIEZI 6 SHEHE ILUNGA HAJAKAMATWA!
 
Kutokamatwa kwa Ilunga hakuhalalishi wengine nao kutokamatwa!! Lakini ikiwa mara nyingi tunawahusisha wana-usalama na masuala ya utekaji na utesaji; ulitarajia nini pale anapokuja kupatikana mtu anayefanya hayo?! Hata ingekuwa wewe, unge-react mapema kwa Lwakatare ili upate kujisafisha....kwamba, "kila siku mnanisingizia mimi, si mmeona wenyewe!"

Nchi inaongozwa kwa matakwa ya DINI ya kiislamu...

KUTOMKAMATA USTAADHI ILUNGA NI UUAJI NA UNYAMA!... KUTOMKAMATA ILUNGA NI UDINI MBAYA KUPINDUKIA!....

MAAGIZO YA ILUNGA kwa waislamu kuua wakristo yangekuwa yamefanywa na mkristo dhidi ya waislamu ISINGECHUKUA HATA MASAA 6 angekamatwa!!!!!!... LAKINI SASA NI MIEZI 6 SHEHE ILUNGA HAJAKAMATWA!
 
IGP,KOVA wote ni wauslamu unategemea wamkamate mwenzao? Rais,Makamu wa rais ,Mkuu wa TISS ni muislamu Jaji mkuu muislamu wakati wanataka azma yao itimie anazuiwa Lwakatare sababu waliomzunguka wote wanataka wamuue sababu ana kisukari
 
Acha udini usio na tija wewe!

MAAGIZO YA ILUNGA kwa waislamu kuua wakristo yangekuwa yamefanywa na mkristo dhidi ya waislamu ISINGECHUKUA HATA MASAA 6 angekamatwa!!!!!!... LAKINI SASA NI MIEZI 6 SHEHE ILUNGA HAJAKAMATWA!
 
Huu ndiyo mwisho wako wa kufikiri?.... Elimu ya madrasa ni mzigo!
KUTOMKAMATA USTAADHI ILUNGA NI UUAJI NA UNYAMA!... KUTOMKAMATA ILUNGA NI UDINI MBAYA KUPINDUKIA!....

MAAGIZO YA ILUNGA kwa waislamu kuua wakristo yangekuwa yamefanywa na mkristo dhidi ya waislamu ISINGECHUKUA HATA MASAA 6 angekamatwa!!!!!!... LAKINI SASA NI MIEZI 6 SHEHE ILUNGA HAJAKAMATWA!

Mkuu TAYADI

Kuwa objective kweye malumbano ya hii hoja character assassination achana nayo! Hata Elimu ya Madrasa unayo ibeza hapa sio inayo changia kuona ombwe la fikra kwenye hoja ya mtu.

Come correct or don't come at all!
 
Last edited by a moderator:
IGP,KOVA wote ni wauslamu unategemea wamkamate mwenzao? Rais,Makamu wa rais ,Mkuu wa TISS ni muislamu Jaji mkuu muislamu wakati wanataka azma yao itimie anazuiwa Lwakatare sababu waliomzunguka wote wanataka wamuue sababu ana kisukari

KUTOMKAMATA USTAADHI ILUNGA NI UUAJI NA UNYAMA!... KUTOMKAMATA ILUNGA NI UDINI MBAYA KUPINDUKIA!....

MAAGIZO YA ILUNGA kwa waislamu kuua wakristo yangekuwa yamefanywa na mkristo dhidi ya waislamu ISINGECHUKUA HATA MASAA 6 angekamatwa!!!!!!... LAKINI SASA NI MIEZI 6 SHEHE ILUNGA HAJAKAMATWA!
 
Nchi inaongozwa kwa matakwa ya DINI ya kiislamu...

KUTOMKAMATA USTAADHI ILUNGA NI UUAJI NA UNYAMA!... KUTOMKAMATA ILUNGA NI UDINI MBAYA KUPINDUKIA!....

MAAGIZO YA ILUNGA kwa waislamu kuua wakristo yangekuwa yamefanywa na mkristo dhidi ya waislamu ISINGECHUKUA HATA MASAA 6 angekamatwa!!!!!!... LAKINI SASA NI MIEZI 6 SHEHE ILUNGA HAJAKAMATWA!

Kama ni Mkristo wa ccm inakubalika akiwa wa Chadema atakoma atafia ndani kama Lwakatare
 
Mkuu umetisha!Professor Jwani Mwaikusa alimuona Balali live??sasa mbona Mkandara amekaa kimya hajafunguka au nae anaogopa kufa? au ndio aliutaarifu usalama wa Taifa wakam duu professor!

Hii ishu ya prof. jwani mwaikusa yaelekea kuwa ina ukweli maana hata mimi niliidaka sehemu fulani nyeti ikiwa imebeba maudhui hayo hayo!
 
Mkuu TAYADI

Kuwa objective kweye malumbano ya hii hoja character assassination achana nayo! Hata Elimu ya Madrasa unayo ibeza hapa sio inayo changia kuona ombwe la fikra kwenye hoja ya mtu.

Come correct or don't come at all!

Mtoi nakuheshimu sana!... Naomba unisamehe kwa hilo. Nasononeshwa saana na double standard ktk jeshi la polisi na uchangiaji ulioegemea dini kwa baadhi ya watu (waislamu wachache ktk jamvi hili).. Posti zako nazisoma saana!.. Wewe ni mmoja wa waislamu ninaowaheshimu saana humu JF na hapa nchini. Very sorry brother!.
 
Hii hoja haitusaidii, inatujengea chuki tu baina ya sisi kwa sisi wakati wakubwa wanakula bata. Nilipenda gazeti la An-nuur jana sheik Amir Kundecha anasema maadui wa waislam sio wakristo ni serikali ya Ccm, nawaombeni jamani hebu tuache kuzodoana humu jf na kutetea dini
 
Mtoi nakuheshimu sana!... Naomba unisamehe kwa hilo. Nasononeshwa saana na double standard ktk jeshi la polisi na uchangiaji ulioegemea dini kwa baadhi ya watu (waislamu wachache ktk jamvi hili).. Posti zako nazisoma saana!.. Wewe ni mmoja wa waislamu ninaowaheshimu saana humu JF na hapa nchini. Very sorry brother!.

TAYADI
Nimekusamehe bure ndugu yangu na pole kama nitakuwa nimekukwaza.

Inapendeza zaidi na kukutofautisha na wengine kama uta iegemeza michango na hoja zako kwenye majawabu mujarabu bila kuchokoza hisia za kidini. Sisi ni ndugu vyumba na milango tofauti ya kuabudia isiwe sababu ya sisi kuishi kwa kuhasimiana.

Kila jema na lenye kheri lisikuponyoke, mwenyezi Mungu akubariki mpaka upigwe na butwaa.
 
Last edited by a moderator:
nchi inaongozwa kwa matakwa ya dini ya kiislamu...

kutomkamata ustaadhi ilunga ni uuaji na unyama!... Kutomkamata ilunga ni udini mbaya kupindukia!....

Maagizo ya ilunga kwa waislamu kuua wakristo yangekuwa yamefanywa na mkristo dhidi ya waislamu isingechukua hata masaa 6 angekamatwa!!!!!!... Lakini sasa ni miezi 6 shehe ilunga hajakamatwa!

hivi umeshasahau kwamba nilishaku-ignore?! Nilikupa mtihani mdogo wa kupima uwezo na nishakujua ni mtu wa aina gani....endelea tu ku-quote posts zangu lakini wala usitarajie kwamba nitakujibu. Kuna mdini mwenzako mmoja humu hadi akafungua post ya eti mimi na yeye tuendeleze malumbano ya dini, nikamwachia post yake na sasa sijamuona tena, sijui kafia wapi!! So, you're forcing yourself to a wrong guy!! Go around, utawakuta stahiki yako, mwenzako nilimshauri akatafute akina Mazinge, you can do the same!
 
nashindwa kuelewa weledi wa jeshi letu la polisi pale waliponyamaza kimya bila kumchukulia hatua yeyote sheikh ilunga baada ya kutoa video yenye kujaa chuki na uch

hakukamatwa wala kuhojiwa,sijui tena kama atakamatwa au kuhojiwa na polisi.

imekuja hii video isiyoeleweka na isiyosikika vyema inayojaribu kumuonesha mtu anayedaiwa kuwa wilfed lwakatare wa chadema akipanga kuwadhuru waandishi wa habari na haraka polisi wamekurupuka kumakamata na kumuhoji.

swali la kujiuliza ni jee video ya sheikh ilunga hawakuiona?kama huwa wanatumia video kwenye uchunguzi wao vipi mbona ya sheikh ilunga hawakuitumia kumkamata na kumuhoji?

Nawasilisha.

hapa mimi ndipo inaniuma zaidi. Nchi hii imekuwa na double standards nyingi sana na hata kwenye mambo ya msingi.mimi nilishangaa sana kwa wizara kuunda tume kwa nyumba za ibada kuchomwa na viongozi wa dini kuvamiwa bila hata polisi kuchukua hatua japo kwa ushahidi wa kimazingira tuu ambao ulikuwa wazi kwa huyu ilunga. Hata tu kumuita na kumuhoji ili kupata ukweli wa hiyo mikanda ambayo anatuhumiwa kuchochea udini na vurugu nchini,hasa kipindi ambacho nchi imeonyesha mpasuko mkubwa wa kidini.je hapa wanataka wale wanaopata madhara kwa hali hii inayoendelea nchini wapata tafsiri ipi kwa serikali hii pale inapoonyesha kuwa kuna baadhi ya watu hawaguswi hata wanapotishia maslahi ya taifa hili.

Ila, wafanye wafanyavyo kwa kutumia aina yeyote ile ya government machinery wakumbuke watashinda kote lakini si mungu.haya yakiendelea sisi wanyonge tunamshtakia mungu na tunasubiri kutumia haki yetu ya sanduku la kura. Hata huko nako wakiendeleza mambo hayo hayo ya dhuluma mungu atakuwa upande wetu.wakumbuke hata hao wanaojaribu kulinda watawala ili kutunza maslahi yao nao ni viumbe waliofinyangwa kwa mikono ya mungu. Mavumbini walitoka na mavumbini watarudi,mungu walipe kwa uovu wao.

Kwa uovu wao tunawakabidhi kwa shetani ili kansa iwe yao,kisukari kiwe chao,ukimwi uwe wao,wendawazimu uwe wao, madawa ya kulevya yaharibu vizazi vyao halafu tuone kwa bunduki na risasi zao kama watajiponya na mauti hizi. Nchi hii ni yetu sote na amani itakapovurugika hakuna atakayekuwa salama. Sote tutakuwa katika hali moja.hakuna mtawala wala mtawaliwa.wanaweza kukimbia huko walikojiandalia makao lakini vizazi vyao havitakwisha vyote.kokote waendako mkono wa mungu utakuwa juu yao. Na yeye ambaye ni mwenye haki na kamwe asiyeweza kumuhesabia asiye haki kuwa ana haki na yeye akabaki mtenda haki atawalipa kwa maovu yao.mkono wake na uweza wake ni mkuu juu ya falme,mamlaka,na sultani zote.yeye ni mungu wa wanyonge na atatulipia kisasi sisi tulio wanyonge. Huu ni ujumbe tosha kuwa japo ni wenye nguvu za mwilini,fedha,na mamlaka hawawezi kuizidi mamlaka ya mungu.walikuwepo zaidi yao.leo osama yuko wapi,hitler yuko wapi,carlos na wengineo.
 
Umeongea vema kwenye eneo lenye kijani.. Na hapo ungekuwa objective kama hivi bila shaka tungekuwa kitu kimoja?

Kwenye RED umechemka na kudanganya, KIBAYA ZAIDI UMESUKUMWA KUSHABIKIA DINI YAKO. HIVI Lwakatare (mkristo) ameshitakiwa na nani?!!!!...

Polisi wamegeuza maamuzi yao yamekuwa ni ya kidini!...
Mwislamu yuko salama mbele ya polisi hawa!...

KUTOMKAMATA USTAADHI ILUNGA NI UUAJI NA UNYAMA!... KUTOMKAMATA ILUNGA NI UDINI MBAYA KUPINDUKIA!....

MAAGIZO YA ILUNGA kwa waislamu kuua wakristo yangekuwa yamefanywa na mkristo dhidi ya waislamu ISINGECHUKUA HATA MASAA 6 angekamatwa!!!!!!... LAKINI SASA NI MIEZI 6 SHEHE ILUNGA HAJAKAMATWA!
Awali nikujilishe kuwa mimi ni mkristu tena mkatoliki mwenye itikadi kali ila nilitegemea baada ya viongozi wetu kutishiwa kuuwa kardinali, maaskofu mapadre hata walei wa kawaida nilitarajia kanisa lingechukua hatua za kisheria,ikiwa ni pamoja na kumfungulia Ilunga kesi!Lwakatare hajashitakiwa rasmi ni mtuhumiwa bado tuache sheria ichukue nafasi yake!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom