Ingawa huwa mara nyingi tunaponda polisi lakini kwa leo naomba tuwape sifa yao wale jamaa trafic Mbagala sasa wanapiga kazi waliyotakiwa kuifanya kwa asubuhi hata jioni naona foleni imepungua sana hii ni kwa mtazamo wangu wa wiki mbili sasa tuendelee hivi na kama mnazo mbinu zaidi ya hizi hebu fanyeni wananchi tupate raha.