Prof_Adventure_guide
JF-Expert Member
- Dec 21, 2023
- 529
- 1,494
Polisi wa Tanzania, mnachekesha! Elimu ndogo, akili ndogo, roho za ukoloni! Badala ya kulinda raia kwa mujibu wa Ibara ya 13(6)(d) na Sheria ya Polisi Sura 322, mnapiga wanaodai haki zao.
Nyie ni fuckin' tools of oppression! Mnaua, mnapora, mnatisha—halafu mnarudi kulala kwenye nyumba za tope na watoto wenu hawana hata school fees!
Mnajifanya askari, kumbe ma-bouncer wa watawala! Shame on y’all. You ain’t protectin’ nobody but your masters. Ushenzi mtu
pu! 😠😠
Na bado unajiita bibi netanyahu mkuu🤣.Nilishasema na ninarudia tena siku mtoto au ndugu yangu akajiunga na polisi undugu kati ya yeye na mimi ndiyo basi tena milele na milele, siwezi kuwa na undugu au urafiki na mtu anayefanya kazi ya laana kama ile. Ameni
Kila jambo na wakati wakeNa bado unajiita bibi netanyahu mkuu🤣.
Hapa fulltime 1-1
Bagonza anaandika bila kuchokaNa Askofu Kalikawe Bagonza:
UJINGA WANGU SASA UMEKOMAA
Niliamini UHAINI ni kosa kubwa. Neno lenyewe tu, linaogopesha kulisoma, kuliandika na kulitamka. Ni kitendo cha kutaka au kupindua serikali yoyote (halali au haramu).
Sasa kuna mtu mmoja katuhumiwa kutaka kutufanyia hayo. Huyu atakuwa ni mtu mbaya sana. Kwa nini atuhumiwe yeye kwa kosa hili baya? Nikawaza;
1. Kesi yake ingesikilizwa wazi (uwanja wa Taifa maana Kisutu hapatoshi).
2. Pale uwanjani wangeweka vipaza sauti na televisheni zote zirushe mubashara ili watu wote waone.
3. Makarandinga ya polisi yangesomba wote wasio na nauli kwenda kusikiliza kesi.
4. Asasi za kiraia na kianaharakati wangetoa maji ya kunywa bure kwa waliofika kusikiliza.
5. Posho za watumishi wa mahakama zingeongezwa ili kuwatia moyo wakati wa usikilizaji.
6. Siku ya hukumu ingekuwa siku ya mapumziko ili nchi itulie na kusikiliza hukumu hiyo.
Kwa nini nafikiri hivi?
a) Ingetoa fundisho la wazi kwa watu wote wanaopenda kuchezea amani ya nchi yetu.
b) Elimu ya uraia na utii wa sheria bila shuruti ingetolewa kwa vitendo kupitia kesi hii.
c) Hatua hii ingehamasisha watu wengi zaidi kwenda kupiga kura siku ya uchaguzi mkuu bila kuhofia Polisi kuvuruga uchaguzi huo.
d) Wale wenye “mdomomdomo” kama mimi, wanaopenda kutumia neno HAKI kuliko amani, wangekuwa wamefungwa goli la kisigino na timu AMANI isiyopenda kutamka neno haki.
e) Hatua hii, ingeua kabisa kampeini za za NO REFORMS, NO ELECTION kwa sababu utawala wa sheria ungeonekana wazi.
f) Chama kingepata fursa nzuri ya kuonyesha ushahidi jinsi mabeberu wanapandikiza wahaini katika siasa zetu.
SASA, nimegundua ujinga wangu umekomaa. Kumbe kesi hii ni muhimu na nyeti. Haiwezi kuwa wazi. Ni kwa ajili ya wanasheria na wateule wachache wenye vifurushi kwenye simu.
Nilidhani nchi hii ni yetu wote kumbe ya wana sheria tu na polisi. Hata serikali iliyotaka “kupinduliwa” ni yetu au ya wana sheria na polisi?
Kama ni yetu wananchi, kwa nini hairuhusiwi watu kwenda mahakamani kusikiliza?
Aisee ujinga wangu una gharama. Akili zimeisha kichwani. Nimebakiza za kunipeleka msalani.
Wajinga wengine kama mimi wameenda wakaishia kuvunjwa viuno, mikono, na migongo.
Hili giza la kuona haki ikitendeka haliwezi kutuacha salama.
Nawaombea uponyaji walioumizwa.
Nawaombea waliowaumiza ili wao wasiumizwe maishani maana inauma.
Vitendo hivi vimelaaniwa vya kutosha. Nafasi za kulaani zimejas. Nitalaani kesho.
Hapa umejifunga goli mkuu-- own goal ya wapi sana🤣Kila jambo na wakati wake
Tulia mkuu mimi naweza vitu vingiHapa umejifunga goli mkuu-- own goal ya wapi sana🤣
Haya ni majambazi yanayovaa uniform tu, nafikiri somo kuu wanalojifunza huko CCP ni ukatili na unyama, jana wameonyesha tabia ya kishenzi kuliko hayawani wa mwituni.Polisi wa Tanzania, mnachekesha! Elimu ndogo, akili ndogo, roho za ukoloni! Badala ya kulinda raia kwa mujibu wa Ibara ya 13(6)(d) na Sheria ya Polisi Sura 322, mnapiga wanaodai haki zao.
Nyie ni fuckin' tools of oppression! Mnaua, mnapora, mnatisha—halafu mnarudi kulala kwenye nyumba za tope na watoto wenu hawana hata school fees!
Mnajifanya askari, kumbe ma-bouncer wa watawala! Shame on y’all. You ain’t protectin’ nobody but your masters. Ushenzi mtu
pu! 😠😠
Napangisha nyumba Kwa watumishi kama ifuatavyo:Polisi wa Tanzania, mnachekesha! Elimu ndogo, akili ndogo, roho za ukoloni! Badala ya kulinda raia kwa mujibu wa Ibara ya 13(6)(d) na Sheria ya Polisi Sura 322, mnapiga wanaodai haki zao.
Nyie ni fuckin' tools of oppression! Mnaua, mnapora, mnatisha—halafu mnarudi kulala kwenye nyumba za tope na watoto wenu hawana hata school fees!
Mnajifanya askari, kumbe ma-bouncer wa watawala! Shame on y’all. You ain’t protectin’ nobody but your masters. Ushenzi mtu
pu! 😠😠
Gentleman,Polisi wa Tanzania, mnachekesha! Elimu ndogo, akili ndogo, roho za ukoloni! Badala ya kulinda raia kwa mujibu wa Ibara ya 13(6)(d) na Sheria ya Polisi Sura 322, mnapiga wanaodai haki zao.
Nyie ni fuckin' tools of oppression! Mnaua, mnapora, mnatisha—halafu mnarudi kulala kwenye nyumba za tope na watoto wenu hawana hata school fees!
Mnajifanya askari, kumbe ma-bouncer wa watawala! Shame on y’all. You ain’t protectin’ nobody but your masters. Ushenzi mtu
pu! 😠😠
Bora ya majambazi asee, haya ni magaidi tupuHaya ni majambazi yanayovaa uniform tu, nafikiri somo kuu wanalojifunza huko CCP ni ukatili na unyama, jana wameonyesha tabia ya kishenzi kuliko hayawani wa mwituni.
Utapigwa tu ukikaidi.Polisi wa Tanzania, mnachekesha! Elimu ndogo, akili ndogo, roho za ukoloni! Badala ya kulinda raia kwa mujibu wa Ibara ya 13(6)(d) na Sheria ya Polisi Sura 322, mnapiga wanaodai haki zao.
Nyie ni fuckin' tools of oppression! Mnaua, mnapora, mnatisha—halafu mnarudi kulala kwenye nyumba za tope na watoto wenu hawana hata school fees!
Mnajifanya askari, kumbe ma-bouncer wa watawala! Shame on y’all. You ain’t protectin’ nobody but your masters. Ushenzi mtu
pu! 😠😠
Huyu Askofu wa CHADEMA ni wa kupuuzwa.Na Askofu Kalikawe Bagonza:
UJINGA WANGU SASA UMEKOMAA
Niliamini UHAINI ni kosa kubwa. Neno lenyewe tu, linaogopesha kulisoma, kuliandika na kulitamka. Ni kitendo cha kutaka au kupindua serikali yoyote (halali au haramu).
Sasa kuna mtu mmoja katuhumiwa kutaka kutufanyia hayo. Huyu atakuwa ni mtu mbaya sana. Kwa nini atuhumiwe yeye kwa kosa hili baya? Nikawaza;
1. Kesi yake ingesikilizwa wazi (uwanja wa Taifa maana Kisutu hapatoshi).
2. Pale uwanjani wangeweka vipaza sauti na televisheni zote zirushe mubashara ili watu wote waone.
3. Makarandinga ya polisi yangesomba wote wasio na nauli kwenda kusikiliza kesi.
4. Asasi za kiraia na kianaharakati wangetoa maji ya kunywa bure kwa waliofika kusikiliza.
5. Posho za watumishi wa mahakama zingeongezwa ili kuwatia moyo wakati wa usikilizaji.
6. Siku ya hukumu ingekuwa siku ya mapumziko ili nchi itulie na kusikiliza hukumu hiyo.
Kwa nini nafikiri hivi?
a) Ingetoa fundisho la wazi kwa watu wote wanaopenda kuchezea amani ya nchi yetu.
b) Elimu ya uraia na utii wa sheria bila shuruti ingetolewa kwa vitendo kupitia kesi hii.
c) Hatua hii ingehamasisha watu wengi zaidi kwenda kupiga kura siku ya uchaguzi mkuu bila kuhofia Polisi kuvuruga uchaguzi huo.
d) Wale wenye “mdomomdomo” kama mimi, wanaopenda kutumia neno HAKI kuliko amani, wangekuwa wamefungwa goli la kisigino na timu AMANI isiyopenda kutamka neno haki.
e) Hatua hii, ingeua kabisa kampeini za za NO REFORMS, NO ELECTION kwa sababu utawala wa sheria ungeonekana wazi.
f) Chama kingepata fursa nzuri ya kuonyesha ushahidi jinsi mabeberu wanapandikiza wahaini katika siasa zetu.
SASA, nimegundua ujinga wangu umekomaa. Kumbe kesi hii ni muhimu na nyeti. Haiwezi kuwa wazi. Ni kwa ajili ya wanasheria na wateule wachache wenye vifurushi kwenye simu.
Nilidhani nchi hii ni yetu wote kumbe ya wana sheria tu na polisi. Hata serikali iliyotaka “kupinduliwa” ni yetu au ya wana sheria na polisi?
Kama ni yetu wananchi, kwa nini hairuhusiwi watu kwenda mahakamani kusikiliza?
Aisee ujinga wangu una gharama. Akili zimeisha kichwani. Nimebakiza za kunipeleka msalani.
Wajinga wengine kama mimi wameenda wakaishia kuvunjwa viuno, mikono, na migongo.
Hili giza la kuona haki ikitendeka haliwezi kutuacha salama.
Nawaombea uponyaji walioumizwa.
Nawaombea waliowaumiza ili wao wasiumizwe maishani maana inauma.
Vitendo hivi vimelaaniwa vya kutosha. Nafasi za kulaani zimejas. Nitalaani kesho.
Yaani mimi nikubali kupanda difenda nikasikilize kesi seriously mkuu😂😂😂😂😂Na Askofu Kalikawe Bagonza:

Bosi sisi polisi tunamaisha mazuri sana na tuna elimu Bora na watoto wetu wanasoma internalinal schools Sasa mambo yote mazuri haya unataka tusiwashughulikie wanaowapinga CCM? Maana sisi na CCM ni ndugu wa damu kabisa.Tii bila shurutiPolisi wa Tanzania, mnachekesha! Elimu ndogo, akili ndogo, roho za ukoloni! Badala ya kulinda raia kwa mujibu wa Ibara ya 13(6)(d) na Sheria ya Polisi Sura 322, mnapiga wanaodai haki zao.
Nyie ni fuckin' tools of oppression! Mnaua, mnapora, mnatisha—halafu mnarudi kulala kwenye nyumba za tope na watoto wenu hawana hata school fees!
Mnajifanya askari, kumbe ma-bouncer wa watawala! Shame on y’all. You ain’t protectin’ nobody but your masters. Ushenzi mtu
pu! 😠😠
Na huku motoni walaaniwe tena na tenaWalaaniwe mpaka huko MOTONI