Polisi Rwanda yaunga mkono agizo la kupigwa marufuku Vazi la Niqab

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,658
55,487
dddd.jpg

Rwanda National Police (RNP), Imeunga Mkono maamuzi yaliyofikiwa na Baraza Kuu ya Waislamu la Rwanda la kupiga marufuku Niqab. Niqab ni vazi ambalo huvaliwa na wanawake wa Kiislamu kufunika uso mzima na Kubakiza macho tu.

Kupitia Msemajiwa Rwanda National Police (RNP), Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Celestin Twahirwa amesema, RNP imepokea Uwamuzi huo wa Baraza kuu kwa mikono Miwili na Kusema ni Uamuzi Mzuri katika kuimarisha Usalama na Ulinzi wa Nchi.

==============

RNP supports decision on Niqab by High Council of Muslims in Rwanda

Assistant Commissioner of Police (ACP) Celestin Twahirwa, Rwanda National Police spokesperson.

Following a decision by the High Council of Muslims in Rwanda banning Niqab, a veil worn by Muslim women covering the whole face apart from eyes, Rwanda National Police (RNP) has welcomed and supported the decision adding that it is a measure for safety and security.

The decision to ban Niqab, cloth that covers the face as a part of sartorial Hijab, was reached during the meeting of High Council of Muslims in Rwanda also known as Fatuwa held on May 14, 2016.

This also followed a report by the Muslim community in Rwanda that raised security concerns the Niqab is likely to cause in the face of the emerging security threats, which are cross-border and transnational in nature.

“Rwanda National Police supports any decision by any institution, religious denominations and other civil society organization that aims at complementing existing policies and initiatives to ensure maximum security,” said RNP spokesperson, Assistant Commissioner of Police (ACP) Celestin Twahirwa.

“Religious institutions and the Muslim community in particular are among RNP active partners in policing and if they find and decide that some of their traditions and beliefs pose security risks it is a healthy decision to do away with them for the general good and we will continue to work together to ensure public order,” he added.

Chanzo: RNP supports decision on Niqab by High Council of Muslims in Rwanda
 
Comment kwa jinsi ulivyoipokea mada na si kusubr kitasemwa nini?na watu gani?
 
kwa jinsi hali ilivyotete uko burundi wana haki wapige marufuku ilo vazi mpaka hali itakapokuwa shwari.
Vazi ni zuri sema baadhi ya watu wanalitumia vibaya
 
Hiyo sheria itakuja hadi huku kwetu,jamaa wamechinja hadi wanao swali msikitini. Hakuna aliye salama. Nafikiria yale mabungurungutu ya pesa waliyopewa masheikh siku ya Idd. Nadhani ni maandalizi ya vikao, au ziara za mafunzo kwa kipenzi chetu Kagame
 
Kama ni kweli waislam wenyewe wa Rwanda ndio wameamua hivyo basi hii ni hatua nzuri ya ukombozi wa kifikra kwa mtu mweusi.
Nasema hivi kwasababu mtu mweusi siku zote amekuwa mtumwa kwa kila jambo. Tumekuwa tunasubiri kuona mtu mweupe kafanya au kaamua nini ndipo nasisi tufuate.
Nina uhakika siku Saudi Arabia wakisema hakuna kuvaa Nigap basi mtu mweusi ataona ni sawa. Hali kadhalika siku Vatican wakisema mkristo anaruhusiwa kuwa na wake 3 pia ataona ni sawa.

Lakini pia sishangai sana kwa Rwanda kwasababu nilishawahi kusikia kuwa katika waafrika ambao IQ yao ipo juu sana ni wanyarwanda hasa watusi. Sababu mojawapo eti ni kwamba mtu mwenye IQ kubwa huwa hachekicheki ovyoo hasa kwenye vitu vya kawaida, huwa anacheka kwa nadra sana. Sasa mzungu aliona mtusi ana sifa hiyo tofauti na jamii nyingine za Kiafrika hasa wabantu ambao hata ukimuambia ngoja nikuchekeshe yeye anaanza tu kucheka kabla.

Pia hao watusi walifananishwa na wayahudi
 
Back
Top Bottom