Polisi wilayani Ludewa ndio wanaboa maduka na kuwaibia wafanyabiashara
Polisi wilayani Ludewa ndio wanaboa maduka na kuwaibia wafanyabiashara
polisi ni wezi tena sana, nshatoa sana rushwa kipindi kile cha difenda za polis zenye plate number za kiraia (TZR) jamaa walikuwa kila wiki lazma waibuke skani