Trafic anakukamata harafu anakuuliza kiongozi mbona huna fine ngoja nikuandikie na wewe uchamgie kidogo. Harafu hizi rushwa za 5000 zilichagizwa nakauli za magufuli Magufuli. eti 5000 hera ya polish.
Unaambiwa hivyo na wewe unakubali kulipa? Matatizo makubwa ni nyie waendesha vyombo vya moto ama kama nakosea wacha nije kununua chombo changu nijionee haya.
Nashindwa kuamini kama unaweza kunyanyaswa bila kosa

Kosa la over speeding ni 60,000? Kosa la kutofunga mkanda ni 60,000. Ukikataa kutoa 2000 atakukomoa kwa 60,000. Mtu kama mm siku zote mara zote naona heri nitoe 60000 serikalini kuliko kumpa 5000 yeye. Na Mimi huwa namwambia nisamehe au niandikie ili niwahi ninakokwenda.