Polisi na wanajeshi wote ni wana CCM?

Polisi na wanajeshi wote ni wana CCM?

mpayukaji

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
940
Reaction score
349
Kitendocha kupigwa mapanga kwa wabunge wa CHADEMA mbele ya polisi kinanifanya kuanzakuhoji umuhimu wa uwepo wa jeshi la polisi. Kitendo cha mafisadi kuendeleakutanua kinanifanya nihoji umuhimu wa kuwepo jeshi letu. Maana nchi si salamaingawa majeshi tajwa yapo. Je majeshi yetu yameundwa na wakereketwa nawanachama wa CCM kutokana na kale ka mchezo ka kuwa na kadi ya TANU kabla yakujiunga na JKT?
 
hahaaaa CCM bana ? najaribu ku imagine Mwema anampigia salute Dr.Slaa...hahaaaaa yaani ntagalagala kwa furaha
 
Tuamini kila kitu
mwanzo na mwisho
mnamjua michael
sata! Sasa hivi ni
nani? Tunaanza na
MUNGU tutamaliza
na MUNGU. Alutha.... .
 
Back
Top Bottom