pamoja Santa
JF-Expert Member
- Jan 6, 2019
- 1,285
- 1,733
Kumbe magereza na wao wanaenda CCP?Sasa wote si polisi? Na wote ni product ya CCP ππ
Kuna agenda zinasukwa kwa kas sana kuelekea 2025...
Wazir wa Utumish kaa chonjo π
Kifo ni kifo tuHuyu anaye ongea ajielewi kwa hiyo wangewaacha wapata ajali
Hahahhahahhaha wagawane za rushwaBadala wagongeshane tano kisha waambiane hili na lile in peacefull way wao wanavimbishana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaijua Kiwira?Kama hujui kaa kmya magereza sio polisi na wala sio product ya ccp
Kila Mtumishi ana stress zake Ndugu yanguHuyo magereza anayeongea hapo anaonekana ana kisirani sana ndo maana wameamua wawakomeshe.
Polisi bana wamezingua sana hapa.Naaaaaam naona kila MTU atafikiwa Tu. Ni suala la Muda Tu. Hapa ni Tanzania Prisons wakiwa wamezuiliwa Iringa kwa kosa la Overspeeding, normal speed ilitakiwa iwe 80km/HR yeye kaendesha kwa 85km/HR. Wakamdaka kuanzia saa tano asubuhi Hadi jioni.
Jamaa wa Prison anapiga mkwara kuwa very soon Polisi "watawaelewa" Tu. Naam kama huna bando la mawazo angalia video hapa.
View attachment 3171523
Wana stress KUBWA Sana, kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa walilipwa 40,000 ikiwa ni chakula, Nauli na posho tofauti na ahadi zao walizopewa na mabwana zaoPolisi bana wamezingua sana hapa.
Siwapendi polisi jaman, niliendaga siku moja kituo kimoja kikubwa kuulizia huduma ya sticker ya nenda kwa usalama, nimefika nimesalimia hata hajaitikia anasema sema shida yako, nilichukia yaani kwanza mshahara hanizidi, nimemuacha mbali kielimu hanifikii yaani nilimdharau nikasema hizi ndude sijui zinajionaje kwa mfano,. Nakumbuka niliendaga Jwtz pale Mgulani enzi za duka la jeshi yaani niliulizwa kitu na nikajibiwa vzr, the same to magereza kwa kweli.Naaaaaam naona kila MTU atafikiwa Tu. Ni suala la Muda Tu. Hapa ni Tanzania Prisons wakiwa wamezuiliwa Iringa kwa kosa la Overspeeding, normal speed ilitakiwa iwe 80km/HR yeye kaendesha kwa 85km/HR. Wakamdaka kuanzia saa tano asubuhi Hadi jioni.
Jamaa wa Prison anapiga mkwara kuwa very soon Polisi "watawaelewa" Tu. Naam kama huna bando la mawazo angalia video hapa.
View attachment 3171523
Polisi ni watu wa hovyo snNaaaaaam naona kila MTU atafikiwa Tu. Ni suala la Muda Tu. Hapa ni Tanzania Prisons wakiwa wamezuiliwa Iringa kwa kosa la Overspeeding, normal speed ilitakiwa iwe 80km/HR yeye kaendesha kwa 85km/HR. Wakamdaka kuanzia saa tano asubuhi Hadi jioni.
Jamaa wa Prison anapiga mkwara kuwa very soon Polisi "watawaelewa" Tu. Naam kama huna bando la mawazo angalia video hapa.
View attachment 3171523
Tumefika pazuri snPale vibaka wanapovamia mtaa wa vibaka wenzao.
Inapendeza sana sasa nyumba moja imeanza kufarakana kwa ugomvi wa ndani wao kwa wao.
Wananchi sasa wameonyesha mfano ukijaribu tu vioo vinasagwa na mawe na mtekaji anafia humo humo ndani ya gari
Ahsanteni sana Tegeta kwa ndevu , hiyo ndio maana halisi ya kazi iendelee.
View attachment 3171535
Magereza hawaendi CCP wana vyo vyao mojawapo kipo kiwira huko Mbeya although wote ni vyombo vya dola busara ilipaswa itimike japo wacha moto uwake wagombane wao kwa wao ndio fresh ili askari polisi nao wakiingia kwenye mia za magereza wafurahishwe no favours hapo ncho itaenda. Ikiwezekana na PCCB walianzishe na Usalama wa Taifa walianzishe yani kila state machinery itimize wajibu wake bila kubebana hapo mambo yataenda mswano.Sasa wote si polisi? Na wote ni product ya CCP ππ
Kuna agenda zinasukwa kwa kas sana kuelekea 2025...
Wazir wa Utumish kaa chonjo π
Hapana, wacha na magereza nao wajirudishie moto uwake ndio fresh π€£Polisi ni watu wa hovyo sn
Huwa naona magereza wana nafauu kidogo ndiyo maana hata watu wakitoka magereza huwa hawana chuki na magereza kama polisiHapana, wacha na magereza nao wajirudishie moto uwake ndio fresh π€£
Magereza ni wana sana. Uwepo magereza ama kitaa. Jamaa huwa hawagombani na watejabwao. Sijawahi kusikia raia wakilalamikia magereza.Huwa naona magereza wana nafauu kidogo ndiyo maana hata watu wakitoka magereza huwa hawana chuki na magereza kama polisi
Ofcoz magereza mafunzo yao yamejikita zaidi kwenye ukakamavu na kuwarekebisha wahalifu kuwa raia wema kwenye jamii ndio maana nchi za wenzetu including Zanzibar wanaita chuo cha mafunzo sio magereza maana wamebase zaidi kwenye rehabilitation even marekani wanaita Correction facility. Polisi ni mwehu tu mafunzo yao mazuri lakini hawayatilii maanani wanahisi yale mafunzo ya ukakamavu yamelenga uhuni tu. Ni wahuni wahuni tu.Huwa naona magereza wana nafauu kidogo ndiyo maana hata watu wakitoka magereza huwa hawana chuki na magereza kama polisi
Kumbe magereza kama Chadema tu πππNaaaaaam naona kila MTU atafikiwa Tu. Ni suala la Muda Tu. Hapa ni Tanzania Prisons wakiwa wamezuiliwa Iringa kwa kosa la Overspeeding, normal speed ilitakiwa iwe 80km/HR yeye kaendesha kwa 85km/HR. Wakamdaka kuanzia saa tano asubuhi Hadi jioni.
Jamaa wa Prison anapiga mkwara kuwa very soon Polisi "watawaelewa" Tu. Naam kama huna bando la mawazo angalia video hapa.
View attachment 3171523
Malalamiko yapo lakini ni kwa kiwango cha chini sn, mtu akikaa polisi anatoka analalamika na kujenga uhasama lakini akitoka magereza anasema poa tu japo ananyimwa uhuru wa kuongea na cm au kuonana na ndugu zake n.kMagereza ni wana sana. Uwepo magereza ama kitaa. Jamaa huwa hawagombani na watejabwao. Sijawahi kusikia raia wakilalamikia magereza.