Nadhani UCHUNGUZI BADO UNAENDELEA...Vyombo vya habari vilitangaza "ANATARAJIWA KUWATAJA WALIOTOKOMEA NA FUKO LA MILIONI 150"...Hadi leo hajasikika teeeena.......
Inalekea si waliouwawa tuu kwa ajili ya vito vyao huko MABWE; kila kiingiacho kwenye KILENGEO na kukawa kuna nafasi jamaa wanajigawia....
Only in Tanzania; MWIZI KUIBIWA NA WAZUIA WIZI....