Polisi mtabaki maskini, na mtakufa masikini!

Wewe tahira sana
Katika vyombo vya ulinzi Tanzania jeshi la polisi ndilo linaongoza kuwa na wasomi wengi.
Baada ya ushenzi wenu kufeli mnakuja na ujinga wenu
 
Hayo siyo matatizo yao, pammbana na hali yako.

Kule CCP Moshi hawakwenda kusomea nursing au hotel management. Walikwenda kusomea namna ya ku deal na watukutu
Tatizo kubwa la polisi wa Tz ni aina ya watu wanaochukuliwa. Kuna wakati waziri Simbachawene, alipokuwa waziri wa mambo ya ndani, aliulizwa kwa nini katika kuajiri polisi wanachukua watu wenye uwezo mdogo wa akili? Akajibu akasema, huwezi kumchukua mtu aliyefanya vizuri kwenye masomo, akubali kulinda bank usiku. lilikuwa jibu la ajabu sana. Mbona nchi nyingine wanachukua watu wenye akili timamu kabisa kuwa polisi? Huko hawalindi mabenki? Kwa sifa hizo za kuwa na akili ndogo ndiyo uwe polisi, ufahamu kuwa kila polisi unayemwona huko njiani, ana akili below average. Mtu asiye na akili timamu, ukimpa silaha anaweza kufanya mambo ya ajabu sana, kama tulivyoshuhudia Oct 29.

Usitegemee hawa polisi akili ndogo hata wakipelekwa kule kwenye chuo chao, huwa wanatoka na chochote. Wanakuwa kama mbwa aliyefundishwa vizuri
 
Kama mnalijua hilo basi TII AMRI bila SHURTI
 
Wewe umetajirika kwa kipi baada ya kuchoma mali za umma na kupora mali za watu kwa kisingizio za maandamano?
 
Hizi kazi za majeshi kuvaa uniform kama wanafunzi wa chekechea zinalaana
Tatizo kubwa ni recruitment yetu. Mbona nchi zingine kama marekani polisi wanaheshimika na wakipishana na raia popote wanasalimiwa kwa kuambiwa "thank you for your service", ikiwa na maana ya kutoa shukrani kwa kazi ngumu wanayoifanya ya kuweka usalama wao rehani kwa sababu ya kulinda raia wema.

Katika nchi yetu tatizo lilianzia pale tulipozifanya kazi za polisi na jeshi kuwa specific kwa ajiri ya waliofeli shule. Mtu mwenye uelewa finyu ana uwezekano mkubwa zaidi wa kufanya maamuzi mabovu, ni hatari mtu kama huyo kupewa silaha ya moto. It's s not fun when the rabbit got the gun.
 
Haha ushindwe kulilaumu jeshi uwalaumu Polisi kwani mwenye anaamua kuchukua ni nani na Wanajeshi si ndo waliruhusu wananchi kuuliwa na yupi aliyelipwa hiyo laki3 na kumi si JW sasa kwanini usiwalaumu Wanajeshi
 
Jahaj ushindwe kulilaumu jeshi uwalaumu Polisi kwani mwenye anaamua kuchukua ni nani na Wanajeshi si ndo waliruhusu wananchi kuuliwa na yupi aliyelipwa hiyo laki3 na kumi si JW sasa kwanini usiwalaumu Wanajeshi

Katika Majeshi yote Tz wizara ya mambo ya ndani ndo kuna wasomi Jw kule ndo kuna darasa la saba
 
Amen,dua zako zimekubalika mbele ya mnyazi mungu,upolisi.ni kazi ya laanifu
 
Wewe tahira sana
Katika vyombo vya ulinzi Tanzania jeshi la polisi ndilo linaongoza kuwa na wasomi wengi.
Baada ya ushenzi wenu kufeli mnakuja na ujinga wenu
Wana bahati ningewamaliza palepale hata mtu taahira kama wewe ungepita kwenye 18 zangu ningekanyaga mafuta nikugonge na gari
 
Masikini ni hao wa chini tu,SACP,DCP,CP&IGP wanaogelea kwenye ukwasi.

Zelothe Stephen alikuwa na makazi yake ushuani Sea View huko!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…