Polisi mtaacha lini Rushwa?

Kwanini polisi wengi wa barabara(Trafki) wanaamini katika kipato cha rushwa za barabarani kuliko mishahara yao
 
Acha majungu yako humu, kila siku mnaambiwa mkidaiwa rushwa mpige simu kwa wakubwa wao tena wengine wanakuwa around. sasa kinachokufanya ulete majungu yako humu ni nini?, Kama ulifuata taratibu zote uliogopa nini kufoward issue yako mbele? Acha Tabia za kike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…