Mzee Chapuuka
Member
- Apr 21, 2017
- 97
- 243
Mtoa rushwa na mpokea rushwa wote ni watuhumiwa. Hivyo kwa huu ushahidi wako inatakiwa ukamatwe na kushitakiwa.Mi sina hamu nao, nilishawahi kushikiliwa kuanzia saa 1 asubuhi hadi saa 12 jioni kwa kesi ya kusingiziwa tu na mazingira yote yanaonekana sikukosa chochote ila walikuwa wanalazimisha rushwa na walikomaa hadi nilitoa 100,000 ndio waliniachia... Yaani hawa watu Mungu anawaona!
Si umeona polisi ni wabaya kwako kuliko aliyekusingizia kesi. Sasa aliyekusingizia akikuona mtaani atatangaza polisi ni wala rushwa tu mtuhumiwa wangu wamemuachia sababu ya rushes tu.Mi sina hamu nao, nilishawahi kushikiliwa kuanzia saa 1 asubuhi hadi saa 12 jioni kwa kesi ya kusingiziwa tu na mazingira yote yanaonekana sikukosa chochote ila walikuwa wanalazimisha rushwa na walikomaa hadi nilitoa 100,000 ndio waliniachia... Yaani hawa watu Mungu anawaona!
Pole mkuu jamaa wana njaa za kipuuzi sanaMi sina hamu nao, nilishawahi kushikiliwa kuanzia saa 1 asubuhi hadi saa 12 jioni kwa kesi ya kusingiziwa tu na mazingira yote yanaonekana sikukosa chochote ila walikuwa wanalazimisha rushwa na walikomaa hadi nilitoa 100,000 ndio waliniachia... Yaani hawa watu Mungu anawaona!
Umewaon polisi tu mbona wengin hamsemi ao takukuru ndo hao hao mbona hamsemi yule mhadibu waoSalaam wanaJF
Leo mida ya asubuhi nimekuwepo central kufuatilia namna ya kumdhamini mfanyakazi mwenzangu aliekamatwa Kwa kesi ya madai
Sasa nimepeleka barua ya kumdhamini toka Kwa Afisa mtendaji
Kilichofuata hapo nikaanza kuzungushwa ili mradi nitoe fedha jamaa angu aachiwe wakati dhamana ni bure na nlitimiza vigezo vya kisheria
Jamaa wakanizungusha na kudai niwape angalau elfu 50 ili jamaa yangu wamuachie
Kiukweli nliwakomalia Sana hadi mwisho wa Siku wakamuachia
Kimsingi rushwa nchi hii haiwezi kuisha hasa Kwa hawa wenzetu wanaolinda usalama wa raia na Mali zao waache kuomba omba rushwa wakati salary wanapokea
Nlienda central saa 2 asubuhi jamaa anakuja kuachiwa saa 8 mchana
SAY NO TO CORRUPTION!
Mtoa rushwa na mpokea rushwa wote ni watuhumiwa. Hivyo kwa huu ushahidi wako inatakiwa ukamatwe na kushitakiwa.
Pole mkuu jamaa wana njaa za kipuuzi sana
Si umeona polisi ni wabaya kwako kuliko aliyekusingizia kesi. Sasa aliyekusingizia akikuona mtaani atatangaza polisi ni wala rushwa tu mtuhumiwa wangu wamemuachia sababu ya rushes tu.
jf raha ila tambua pale ndani sio poaSiku nyingine toa taarifa haraka ya mazingira hayo katika mamlaka husika (TAKUKURU)
Usiseme njaa hapo unakuwa unakoseaPole mkuu jamaa wana njaa za kipuuzi sana
?Pole mkuu jamaa wana njaa za kipuuzi sana