Polisi Morogoro vs Yanga live updates

Polisi Morogoro vs Yanga live updates

Kadi ya manjano kwa Lulanga Mapunda
 
"mabeki wa yanga nawajua vizuri, safari hii nakuja kivingine kwahiyo wajipange"
Source: Said Bahanuzi
 
Wewe ndio hujui, kufuatilia mpira wa Bongo ndio starehe yake kaka, kwa nini kumchagulia mwenzio kipenda roho? Mpira wa Bongo unalipa sana kama hujui, jiulize kwa nini yule Bilionea kajenga uwanja binafsi, kwa nini watu wanatoana heshima sababu ya mpira huu huu wa Bongo.

Kipende chako kwanza kisha cha jirani.

hakuna haja ya kumjibu huyo mrwanda,nafikir ye ndo mshamba kushobokea vya watu
 
Simon Msuva yeye na lango anakosa goli la wazi
 
Gooooooooool, dany mrwanda kashafanya mambo hapa jamhuri morogoro. polisi 0-1 yanga.
 
"Kijana wetu" Simon Msuva tumemtuma kazi maalumu Kandambili, kwahiyo usishangae ye na nyavu anapaisha.
 
Dakika ya 42 Yanga 1- Polisisimba Moro 0.
Mfungaji Danny Mrwanda.
 
kuna mtu hamnazo humu jukwaan eti tusishabikie mpira wa bongo he!nyama yako ww,wanajaamv tupen updat
 
duu leo mjini hakukaliki tena mapema home kulala
 
"Kijana wetu" Simon Msuva tumemtuma kazi maalumu Kandambili, kwahiyo usishangae ye na nyavu anapaisha.
Wewe jidanganye tu!
dogo anafanya mavitu ya ukweli kwa ajili ya kuiletea matokeo mazuri timu yake ya wananchi.
 
Back
Top Bottom