Tanzania tutaendelea kupigika kwasababu ya damu nyingi za watu kumwagwa bila hatia. Wale mnaoimba kila siku nchi ya uchumi wa kati na viwanda, kwa Taanzania hilo msahau.2014 ilitokea ajali mbaya iliyoondoka na roho za watoto watano
Gari ya polisi ilizikuta gari mbili zimesimama kwenye zebra kupisha wanafunzi wapite... Gari ya polisi ikazi over take zile gari 2 na kuwagonga watoto 8 kwa mpigo, wanne walifia palepale.... Kesi ile ilivyoisha Mungu tu na wahusika ndio wajuao
Jr[emoji769]
Inauma sana mkuu2014 ilitokea ajali mbaya iliyoondoka na roho za watoto watano
Gari ya polisi ilizikuta gari mbili zimesimama kwenye zebra kupisha wanafunzi wapite... Gari ya polisi ikazi over take zile gari 2 na kuwagonga watoto 8 kwa mpigo, wanne walifia palepale.... Kesi ile ilivyoisha Mungu tu na wahusika ndio wajuao
Jr[emoji769]
Je kama wanaenda kukabiliana na tukio la hatari/kubwa!!Asilimia kubwa ya vyombo vyetu vya ulinzi viko juu ya sheria na wanalindana haswa ikitokea ajali hapo kosa ni la yule anayekuja.
Polisi wetu wana msongo wa mawazo, wanaishi full suit za Simba chapa dumu kutoka Alaf, halafu wanajiona wao ni wenye Nchi, lazima ghorofani uyoga utakuwa umesha anza kuotaWenye nchi hao.... Untouchables
Jr[emoji769]
Kuna signals wanazitoa kama ving'ora.
2014 ilitokea ajali mbaya iliyoondoka na roho za watoto watano