M mwembemdogo JF-Expert Member Joined Feb 28, 2016 Posts 2,282 Reaction score 1,253 Jun 5, 2016 #21 Heko Polisi wetu Kwa Kazi hiyo waondoeni wanakera sana vipi T.I.D ?
mogulnoise JF-Expert Member Joined Oct 28, 2014 Posts 2,445 Reaction score 5,554 Jun 5, 2016 #22 Mkiliswa nyama ya mbwa anayekamtwa yule aliyeuza mbwa lakini Unga nashangaa wanadakwa walaji sio wauzaji kweli ukistaajabu ya sheni utayona ya sefu
Mkiliswa nyama ya mbwa anayekamtwa yule aliyeuza mbwa lakini Unga nashangaa wanadakwa walaji sio wauzaji kweli ukistaajabu ya sheni utayona ya sefu