Polisi: Lissu hatoki

samahani kwa yeyote atakaekwazika lakini kwanini hawa wanashindwa kumpitisha njia alowahi kupitishwa dk ulimboka?? binafsi naona inaleta matokeo chanya ndani ya muda mfupi sana
 
Mbona viongozi wa Chadema hawajatoa tamko lolote? Wapi kamanda wa anga Mbowe?
 
Kama matoto.serikali wanashndwa kufatilia ishu za msingi wanakuwa bize na kina tundulisu kisa wanasema ukweli.aibu tanzania ata wajukuu zetu wata kuja kushangaa tunayo ya fanya
Sipingani na maoni yako ila kwa kuongezea serikali inatakiwa kushughulika na yote yawe ya msingi au yasiyo na msingi (kwa kadiri ya kuona kwako)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siasa tuweke pembeni kauli za Lissu ni kweli kwa mtizamo wa kawaida si za kushadadiwa hata kidogo ingawaje kwenye misingi ya kisheria zinaweza zisiwe na kosa lakini si za kupongezwa hata kidogo acha serikali ifanye kazi zake na hizi ikiwemo moja ya kazi yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu yupo usidhani Duwa lako la kuku litampata mwewe Roho mbaya unadhani hutakufa wewe, umeweka dawa za kulevya kwenye maji na chakula kumpelekea Lisu unadhani Mungu hajakuona? Watanzania wanajua njama zako zote na malipo ni hapa hapa Duniani.
Si alikataa kutoa mkojo lakini?
 
Ninachojua kumfunga mwanasiasa ni sawa na kumpiga teke chura,
Lisu kajikatia tiketi malidhawa kama Bashite alivyojikatia tiketi ya ulinzi kwa kujipachika katika Dhana ya Madawa. Japo kuwa wa kwanza yupo katika mstari, huyu wapili katumia ujanja pori sijui ndio anatafsiri MAONO.
Kama anavyolindwa Bashite na mkuu, ndivyo Lissu atakavyolindwa katika mioyo ya wapenda haki. Hata huko polisi wapo wapenda haki. Lisu nina hakika yupo salama 99%
 
Yaani serikali hii kama ingeendelea na kasi yake hii na kuachana na mambo ya sijui CCM au CHADEMA...wangefika mbali sana...

Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa zote za viwanda, safari za nje kodi
Mbalimbali kazichukua kawekeza kwenye Bajeti ya kukandamiza Demokrasia kuwabambikia Kesi visasi kuwakomoa kuwanunua madiwani kumlipa Lipumba adhoofishe upinzani kwa sasa hawataki maendeleo kwanza.
 
Katika Wilaya maskini na zenye wananchi wanaoishi maisha magumu , Ikungi iko mstari wa mbele. Kama Lisu angetumia juhudi na nguvu zake hizi , angaliweza kupunguza adha ya maisha ya wananchi hawa maskini wa kutupwa. Ili ujue akili ya Lisu, kawaulize wananchi wake jambo gani amechangia kuboresha maisha yao miaka 10 hii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ibara ya 13(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema: "Watu wote ni sawa mbele ya sheria, na wanayo haki, bila ya ubaguzi wowote, kulindwa na kupata haki sawa mbele ya sheria." Ibara ya 13(6) inasema: "Kwa madhumuni ya kuhakikisha usawa mbele ya sheria, Mamlaka ya Nchi itaweka taratibu zinazofaa au zinazozingatia misingi kwamba - (a) wakati haki na wajibu wa mtu yeyote vinahitaji kufanyiwa uamuzi wa mahakama au chombo kinginecho kinachohusika, basi mtu huyo atakuwa na haki ya kupewa fursa ya kusikilizwa kwa ukamilifu, na pia haki ya kukata rufaa au kupata nafuu nyingine ya kisheria kutokana na maamuzi ya mahakama au chombo hicho kingenecho kinachohusika."
 
Polisi wengi hawapendi kuwabambikia kesi chadema lakini wapo baadhi wanasaka vyeo hawana vyeti wanatumia chadema kama daraja wanajipendekeza kwa Mtukufu malaika toka chato wapate vyeo na sifa za kujinga.
 
Wajinga niwale wano Shabikia Ujinga wa Mjinga
hasa wewe
Ujinga upi? Nyie kuwabambikia kesi upinzani ni ujanja? Kuwakomoa Wapinzani ni ujanja? Visasi na uonevu ni ujanja? Utakufa kwa roho mbaya malipo ni hapa hapa Duniani.
 
Hivi polisi ambao ni failure wanaweza kumuhoji msomi Lissu au wanapokea maelekezo kutoka lumumba tu? Wakimpeleka mahakamani wataishia kuumbuka kwa sababu ya uzuzu wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…