We akili huna au unajitoa akili! Kwani ukishakamatwa na polisi unatakiwa unyongwe or? Kuna makosa ambayo dhamana iko wazi, na unajua mtu hapashwi kukaa mahabusu zaidi ya saa 24 bila kufikishwa mahakamani, na hata akifikishwa hapo mahakamani anayo haki ya kudhaminiwa endapo makosa yake hayaangukii katika kundi la non-bailable ofences: (see Criminal procdure act sect, 148 ) hapo utaelewa, sasa swala la mtu kurudi mtaani ikiwa kesi haijaisha vp useme polisi wanashirikiana na vibaka?! Acha akili za ki bavicha.

Dhamana ni haki ya mtuhumiwa acha ushabiki kwani nyie si mahakama hivyo hamna mamlaka ya kusema wale wametenda na mtoe hukumu polisi wanayo haki ya kutoa dhamana kwa mujibu wa sheria. Swala la wananchi kutaka kumshambulia mkuu wa kituo ni mob saikoloj tu ambayo inaweza kuwa sahihi au siyo sahihi kama inategemea nani aliyewajenga kisaikolojia na akilikuwa na nia gani na ana uelewa wa kiwango gani juu ya matukio kama hayo

Je umeambiwa kesi imefutwa? Kama waliokamatwa ni kaka zako au baba zako ungesema wasipewe dhamana?. Futilia kesi kwa hatua siyo kupaniki. Ebu jiulize ungekuwa wapi kama yule mkuu wa kituo mngemuua? Achana na mob saikoloj kumbuka wahenga walisema mchuma janga hula na wakwao aliyekushawishi atakuwa hayupo wakati wewe unahema kwa tabu katika chumba kichafu chenye msongamano wa watu aliyekushawishi anakula bata na familia yake.
Pole sana kijana umeshanituhumu kuwa mimi askari teh teh. Kumbuka kesi zinaendeshwa kwa ushaidi tu na si uvumi hivyo basi kama kesi haina ushaidi lazima mtuhumiwa achiwe tu. Epuka ushabiki angalia pande zote mbili achana na tabia ya kuhukumu maana wewe si mtoa haki.
salam wana jf kuna tukio la mauaji kubaka na kudhalilisha wanawake lilitokea mwezi uliopita katika mtaa wa luchelele wilaya ya nyamagana ktk jiji la mwanza bahat nzur waathirika waliwatambua watu waliofanya hilo tukio na kuwataja na hatimaye kwa juhud za wananchi wakafanikiwa kuwakamata na kuwafikisha ktk vyombo husika lkn cha ajabu baada ya sku chache hao jamaa waliachiwa huru bila kumtaarifu hata mwenyekiti wa mtaa na wakaanza kutamba na kuwatishia wananchi waliowataja hv kwa hali hii polis tutawaamini?