MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,186
- 5,454
Tutaujua ukweli kuliko matukio haya.View attachment 759954
Wewe unawaelewa wakurya???? Marehemu na Marwa wote akisema nitakuchoma kisu huwa hawatanii, na kibaya waliongea kilugha. Hata kama waliwatenganisha ila alikuwa keshamjeruhi.Jeshi la polisi lipo kimkakati kukwepa kuwa wao ndiyo wauaji wakuu wa Suguta aliyechomwa kisu na askari wa doria.
Wanadai askari alikuwa na ugomvi binafsi na marehemu suguta wakasahau kuwa huyo afande Marwa hakuwa pekee yake bali walikuwa askari wengine ambao kwa umoja wao wangezuia maafa hayo na kumkamata bwana Suguta na mmiliki wa bar na kuwafungulia kesi hadi kuwatia hatiani(ikiwa wangekutwa na kosa).
Nguvu hii kubwa kama itaachwa basi hakika walevi tutakoma maana itakuwa mkiwaona askari tu mnajua mwendo wa visu tu.
Jeshi la polisi kaeni chini mjitafakari mahusiano yenu na raia yakoje kwani kwa sasa hakuna anayeliamini jeshi hili imani pekee imebaki kwa JWTZ tu.
Angalieni komenti za watu inapotokea askari kafa au ajali mtajifunza mengi.
Hakuna kukwepa wala kuhusisha ugomvi binafsi na hili askari na jeshi la polisi ndiyo wauaji wakuu wa Innocent,Suguta.
Wengi hujipendekeza kwa Maliyamungu Bashite ili wapate vyeo kwa kuwakomoa kuwadhalilisha kuwabambikia kesi chadema na upinzani kwa ujumlaPolisi wa nchi hii wana stahili nishani ya uongo na unafki
Ugomvi wa mtu na mtu. Kisu kinachomwa mgongoni na siyo usoni, tumboni, mikononi, kichwani. Au marehemu aligombana na zaidi ya askari mmoja?Wewe unawaelewa wakurya???? Marehemu na Marwa wote akisema nitakuchoma kisu huwa hawatanii, na kibaya waliongea kilugha. Hata kama waliwatenganisha ila alikuwa keshamjeruhi.
Hili neno ni kubwa sana umeliongelea.Ungelipangilia vizuri lina sauti kubwa mno.Big up mno.Akili kubwa hujadili na kufikiri kiasi hiki.Very good.Tanzania hatujabagatika kuwa na polisi ila tuna watu wanaovaa sare za kipolis kichwani watumwa tuu wa bashite
Washasema wao kama Jeshi hawahusiki,Hakuna Burudani ambayo naisubiri kwa hamu kama maelezo ya Police juu ya hili!
hii ni kinyume na maadili.. wote waliohusika kupiga na kusambaza picha Mungu anawaonaTutaujua ukweli kuliko matukio haya.View attachment 759954