Adrian Stepp
R I P
- Jul 1, 2011
- 2,764
- 2,600
Jeshi la polisi Tanzania limeandaa kitengo maalumu kitakacho fanya 'doria' mtandaoni kufuatilia wasanii pamoja na wale wanaotumia mitandao ya kijamii vibaya kutuma picha za utupu na video zisizo na maadili.
Akizungumza na waandishi wa Habari mapema hii leo, Msemaji wa jeshi la polisi Tanzania (ACP) Barnabas Mwakaluka amesema kuwa kutokana na wasanii wengi kukaidi agizo la kuacha kusambaza picha zisizofaa wameamua kuunda kitengo cha kusimamia na sheria zitaanza kufuatwa kwa wote watakaopatikana na hatia hiyo kwa kupelekwa mahakamani.

ukitoa lugha isiyofaa,paaap..alarm inalia police