Duuuuuuuh,ngoja Obama na Cameron wasikie hii habari,yaani bakuli letu la sadaka litapigwa teke mpaka tule tusenti kidogo tuliomo tutaruka na kupotele mchangani.Baada ya mkuu wa mkoa wa Dar Paul Makonda kupiga marufuku mapenzi ya jinsia moja kumekuwa na taarifa za mitandaoni kwamba tayari jeshi la polisi kanda maalum Dar es salaam limeshaanza kuwakamata baadhi ya Watuhumiwa.
AyoTV imempata kamanda wa Polisi kanda maalum Dar es salaam Simon Sirro aliesema >>>
’Hili kosa lipo muda mrefu, ukienda kwenye sheria za adhabu kwa nchi yetu kufanya mapenzi kinyume cha maumbile ni kosa la jinai na tumekuwa tukiwakamata watu ‘ ‘Kilichokuwa kinakosekana ni suala tu la taarifa lakini ukipatikana hukumu yake ni kubwa inategemea na hakimu, kama sikosei ni kuanzia miaka miaka mitano, sita mpaka saba jela, hili sio kosa la miezi miwili jela’ – Kamanda Simon Sirro.
source; Millardayo.com
Hapo shoga ataraisishiwa haja zake jera watampanda mpaka basi.
safi bila kusahau machangudoa. Na wale wapenda tigo za jinsia ya ke.hao adhab ni sindano ya sumu(sorry kama mmo humu)
Yaani hatari kama TINDIKALI,yaani tunawadhulumu wanawake MAUTAMU yao,ilihali wao na **** zao wanahitaji kupakuliwa kwa saaaaaana sababu kama hatujawaingilia basi watawashwa sana halafu watapata MFAZAIKO au vipi?Hatari
Hahahaha Sema Mademu wanaroho ngumu, anaeza akashikwa kikweli kweli lakini asitoe bila helaYaani hatari kama TINDIKALI,yaani tunawadhulumu wanawake MAUTAMU yao,ilihali wao na **** zao wanahitaji kupakuliwa kwa saaaaaana sababu kama hatujawaingilia basi watawashwa sana halafu watapata MFAZAIKO au vipi?
Sidhani kama kunaatakae kusapoti, nahisi hata wanawake hawatokubaliana naweweSafi sana, usisahai wanawake wanaojiuza na wale wafumua marinda ya jinsia ya ke.
Hawa mashoga, machangudoa na wateja wao adhabu iwe moja. Na wanaotoa mimba na kutupa watoto jalalan
Baada ya mkuu wa mkoa wa Dar Paul Makonda kupiga marufuku mapenzi ya jinsia moja kumekuwa na taarifa za mitandaoni kwamba tayari jeshi la polisi kanda maalum Dar es salaam limeshaanza kuwakamata baadhi ya Watuhumiwa.
AyoTV imempata kamanda wa Polisi kanda maalum Dar es salaam Simon Sirro aliesema >>>
’Hili kosa lipo muda mrefu, ukienda kwenye sheria za adhabu kwa nchi yetu kufanya mapenzi kinyume cha maumbile ni kosa la jinai na tumekuwa tukiwakamata watu ‘ ‘Kilichokuwa kinakosekana ni suala tu la taarifa lakini ukipatikana hukumu yake ni kubwa inategemea na hakimu, kama sikosei ni kuanzia miaka miaka mitano, sita mpaka saba jela, hili sio kosa la miezi miwili jela’ – Kamanda Simon Sirro.
source; Millardayo.com
Kama hawajawazuia hao wanawake wanaojiuza na wateja hao kuutokomeza ushoga ni ngumu mkuu. Sababu wengi wa wateja wao ndio hao hao wateja wa mashoga.Sidhani kama kunaatakae kusapoti, nahisi hata wanawake hawatokubaliana nawewe