Polisi Iringa, msaidieni baba huyu anafanyiwa ukatili na mkewe

Hata huko dawt haez pta suluhisho,wanawake ndio wanaskilizwa ccwanaume tunaonekna tatzo.iliwah nitokea mwez wa 1 mwaka huu
 
Naomba jeshi la polisi mumsaidie huyu baba. Kwa hatua aliyofikia asije akajidhuru polisi mkasema hamkupata taarifa. Nikiri wazi mke wake ni rafiki yangu na kuna mengi tumefanya naye hadi baadhi ya Mali ambazo amekuwa akinunua amekuwa akinishirikisha. Lakini katika manyanyaso anayompa mume wake kwa kweli mimi roho inaniuma. Huyu rafiki yangu haachi kujisifu kwa manyanyaso anayomfanyia mumewe.

Jana kanipigia simu kwamba mume wake kampeleka dawati. Inauma sana, ukiona mpaka mwanaume anaamua kumpeleka mke wake dawati ujue hakuna jinsi. Polisi msaidieni huyo baba asije akajidhuru.

Maoni yangu kwako rafiki yangu Upendo Amulike: Muheshimu mume wako, usimdharau mume wako kwa sababu ya tamaa ya mwili. Huyo Ndio mume wako mliofunga naye ndoa na Mungu akawapa neema ya watoto 2 wa kiume. Muheshimu acha kumdhalilisha na kumuonea. Kumbuka umewahi kumuweka ndani lakini baba wa watu wala hakujali.

Ukimya wake na upole usidhani huyo ni mjinga, Kumbuka ni mume wako. Sisi ni rafiki zako tu unatuamini hadi mambo yako ya ndani unatumwagia hadi vibosile ulivyo navyo huwa tunakusikiliza Lakini tunashindwa tu kukueleza ukweli.

Sisi wote tumeolewa kwa unayoyafanya yanatudhalilisha wanawake.

Polisi naomba mumsaidie baba huyu kwa majina namfahamu Kama baba Gilbati. Mke wake ni Afisa Mtendaji kata ya Kwakilosa mkoani Iringa.

Namshukuru Mungu moyo wangu una amani. Hata likitokea baya kwa huyu baba naamini moyo wangu umetenda jukumu lake.

Rpc
Ocd

Fatilieni jambo Wengine hufikia hatua ya kujiua kwa sababu Kama hizi.
Mwanaume bila maamuzi magumu unakufa mapema kwa wanawake wa sasa
 
Nikiwa sebleni kwa shemeji yangu na king'amuzi ameshakilipia huku na subiri dada apike ugali na nyama nile....Yani unainamishwa na mwanamke hata ni upole huo wa boya
 
UP DATE,HATIMAE MAHAKAMA YAAMUA KUVUNJA NDOA YA SHOSTI WANGU.MAHAKAMA IMEAMURU NYUMBA IUZWE MWANAUME ACHUKUE ASILIMIA 40,NA MKE ASLIMIA 60 LICHA YA MUME KUWA NA MKOPO ALIOKOPA KWA AJILI YA UJENZI WA NYUMBA HIYO WATOTO WOTE WAWILI WABAKI NA MAMA .KWELI HUYU BABA ANAKOMOLEWA.BABA AMEOMBA NYUMBA ISIUZWE IBAKI YA WATOTO SHOSTI AMEKATAA NA ANALAZIMISHA NYUMBA YENYE THAMANI ZAIDI YA MILION 100 IUZWE KWA MILIONI 10 ILI AMRUDISHIE HUYO BABA ASILIMIA 40 ZAKE.BABA WA WATU AMEKATAA KUHAMA KWENYE NYUMBA.SASA ANASUKIWA MKAKATI NA SHOSTI WA KUMBAMBIKIA KESI YA UBAKAJI.

MPANGO UNASUKWA NA MWENZIE MPYA ANAEFAHAMIKA KWA JINA LA STIVU KUPITIA KWA BINTI WA KAZI ALIECHUKULIWA KUTOKA KWA RAFIKI YAKE NA SHOSTI ILI AJE AMUANGAMIZE HUYU BABA WAMEAHIDIWA KUPEWA FEDHA .
SHOSTI ANAJIGAMBA LAZIMA AMFUNGE NA NYUMBA ACHUKUE.

SHOSTI AMESHAFANYA MIPANGO MINGI KWA WATHAMINI ILI NYUMBA WAISHUSHE THAMANI WAMKOMOE HUYU BABA ,LAKINI BADO WATHAMINI WANAMGOMEA .

KWA KWELI KUNA WANAWAKE WANA ROHO NGUMU DUNIA HII.

NAOMBA JESHI LA POLISI NA TAKUKURU FATILIENI JAMBO HILI KWA KARIBU.

Moderat msiiunganishe hii habari
 
Kwa maelezo yake mwenyewe huyu Shosti wangu unyumba hampi na wakati mungine huwa harudi nyumbani
...Hiyo ni too much Tena! Kuna siku analala Nje? Na Asubuhi Jamaa anampokea t Sio Kwa Kibano? Kweli Mwanaume mwenzetu ameshikwa. Sasa siwaachane TU? Mpaka Gunia Mbili za Mkaa ama Risasi Saba Kichwani Vitumike ndio Mtu ashike Adabu??
 
UP DATE,HATIMAE MAHAKAMA YAAMUA KUVUNJA NDOA YA SHOSTI WANGU.MAHAKAMA IMEAMURU NYUMBA IUZWE MWANAUME ACHUKUE ASILIMIA 40,NA MKE ASLIMIA 60 LICHA YA MUME KUWA NA MKOPO ALIOKOPA KWA AJILI YA UJENZI WA NYUMBA HIYO WATOTO WOTE WAWILI WABAKI NA MAMA .KWELI HUYU BABA ANAKOMOLEWA.BABA AMEOMBA NYUMBA ISIUZWE IBAKI YA WATOTO SHOSTI AMEKATAA NA ANALAZIMISHA NYUMBA YENYE THAMANI ZAIDI YA MILION 100 IUZWE KWA MILIONI 10 ILI AMRUDISHIE HUYO BABA ASILIMIA 40 ZAKE.BABA WA WATU AMEKATAA KUHAMA KWENYE NYUMBA.SASA ANASUKIWA MKAKATI NA SHOSTI WA KUMBAMBIKIA KESI YA UBAKAJI.

MPANGO UNASUKWA NA MWENZIE MPYA ANAEFAHAMIKA KWA JINA LA STIVU KUPITIA KWA BINTI WA KAZI ALIECHUKULIWA KUTOKA KWA RAFIKI YAKE NA SHOSTI ILI AJE AMUANGAMIZE HUYU BABA WAMEAHIDIWA KUPEWA FEDHA .
SHOSTI ANAJIGAMBA LAZIMA AMFUNGE NA NYUMBA ACHUKUE.

SHOSTI AMESHAFANYA MIPANGO MINGI KWA WATHAMINI ILI NYUMBA WAISHUSHE THAMANI WAMKOMOE HUYU BABA ,LAKINI BADO WATHAMINI WANAMGOMEA .

KWA KWELI KUNA WANAWAKE WANA ROHO NGUMU DUNIA HII.

NAOMBA JESHI LA POLISI NA TAKUKURU FATILIENI JAMBO HILI KWA KARIBU.

Moderat msiiunganishe hii habari
amelogwa si bure
 
Wanawake upenda wanaume madikteta. Wanaume diplomatic wengi ndoa zao ni matatizo. Wanaume madikteta ndoa ni amri moja zipo imara.
 
Upate mwanamke kama kibibi wa Huba lazima ufe mapema. Type ile wanataka wanaume wavuta bangi ngumi mkononi wanaume vichaa
 
UP DATE,HATIMAE MAHAKAMA YAAMUA KUVUNJA NDOA YA SHOSTI WANGU.MAHAKAMA IMEAMURU NYUMBA IUZWE MWANAUME ACHUKUE ASILIMIA 40,NA MKE ASLIMIA 60 LICHA YA MUME KUWA NA MKOPO ALIOKOPA KWA AJILI YA UJENZI WA NYUMBA HIYO WATOTO WOTE WAWILI WABAKI NA MAMA .KWELI HUYU BABA ANAKOMOLEWA.BABA AMEOMBA NYUMBA ISIUZWE IBAKI YA WATOTO SHOSTI AMEKATAA NA ANALAZIMISHA NYUMBA YENYE THAMANI ZAIDI YA MILION 100 IUZWE KWA MILIONI 10 ILI AMRUDISHIE HUYO BABA ASILIMIA 40 ZAKE.BABA WA WATU AMEKATAA KUHAMA KWENYE NYUMBA.SASA ANASUKIWA MKAKATI NA SHOSTI WA KUMBAMBIKIA KESI YA UBAKAJI.

MPANGO UNASUKWA NA MWENZIE MPYA ANAEFAHAMIKA KWA JINA LA STIVU KUPITIA KWA BINTI WA KAZI ALIECHUKULIWA KUTOKA KWA RAFIKI YAKE NA SHOSTI ILI AJE AMUANGAMIZE HUYU BABA WAMEAHIDIWA KUPEWA FEDHA .
SHOSTI ANAJIGAMBA LAZIMA AMFUNGE NA NYUMBA ACHUKUE.

SHOSTI AMESHAFANYA MIPANGO MINGI KWA WATHAMINI ILI NYUMBA WAISHUSHE THAMANI WAMKOMOE HUYU BABA ,LAKINI BADO WATHAMINI WANAMGOMEA .

KWA KWELI KUNA WANAWAKE WANA ROHO NGUMU DUNIA HII.

NAOMBA JESHI LA POLISI NA TAKUKURU FATILIENI JAMBO HILI KWA KARIBU.

Moderat msiiunganishe hii habari
Wanawake bwana ukute kanogewa na dudu la nje ya ndoa anafanya yote haya
 
Back
Top Bottom