POLISI ILULA

POLISI ILULA

issa mdemu

Member
Joined
Feb 10, 2017
Posts
13
Reaction score
3
POLISI ILULA mpo likizo?? mbona watumia madawa ya kulevya bado wametapakaa maeneo ya Bismilah Hotel ya zamani???
 
halo hapa ILULA bado mbaya shauri ya wavuta bangi wananikera sana
 
Ndugu zangu wa ilula amjambo,nimewakumbuka sana,,,nitakuja tena kuwasalimia.....mnamkumbuka yule kaka kwenye vitambulisho vya Taifa...aliyekuwa akiwachekesha sana,,,,nawapenda sana ndugu zangu
 
Back
Top Bottom