Polisi FFU wanavyojichukulia rushwa barabarani

na huwa nasema,mambo mengi tz au africa hayaendi sababu ya unafiki.

unafiki unatukwamisha sana.hatuko real.
 
Hahahah... itaje basi hiyo simu acha kuzunguka.
 
Hapana mkuu, kuna askari wana ufauru mzuri sana wa level za shule walizotoka tena wengine wana elimu kubwa (masters +) lkn bado wanatii amri za wakuu wao. Hiyo ndio nature ya kazi yao kutii kila amri iliyo halali
 
Hao wapo Mkuu. Na wana akili hata ukiongea nao au wakichangia humu JF wewe unaweza kuwa mmoja wao. But asilimia 90 ni wa hovyo.mi nawafaham jamaa zangu nlisoma nao O Level wawili walikuwa wezi,wavuta bhangi n.k waka fail mwaka 2014 nakutana na mmoja wao ananambia ni askari.nlichoka...kaendelea tabia zake this time akiwa na kinga.

Hapana mkuu, kuna askari wana ufauru mzuri sana wa level za shule walizotoka tena wengine wana elimu kubwa (masters +) lkn bado wanatii amri za wakuu wao. Hiyo ndio nature ya kazi yao kutii kila amri iliyo halali
 
Nakuaga na confidence kama mtoto wa mkubwa kumbe kajamba nani [emoji12]
Sema nyie waarabu koko mnajuaga kujishaua kichizi!!!
Kuna mmoja anatokaga kwao tandika anaenda slipway kula pizza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…