Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,428
- 11,843
mkuu kama sheria inampa mamlaka askari kukusimamisha na kukuhoji,ni ukichaa kuuliza anakusimamishia kitu gani.ndio maana jibu huja USIHOJI.
kuhoji huzalisha mashaka zaidi kwa askari,na kumuongezea umakini kukukagua ambao utasababisha upotevu zaidi wa muda.
NOTE msikariri kwamba kuna askari wa barabarani,askari polisi yoyote unayemjua,awe FFU au sijui nani,anayo mmlaka ya kukusimamisha kukuhoji na kukukamata.hizo rangi za nguo ni za vitengo vyao vya upolisi,ambavyo havibadili kabisa jukumu lao la msingi(UPOLISI).kifupi mwenye mamlaka ya kuhoji uhalali wa ffu kuwepo barabarani ni askari mwenzie sio mwananchi wa kwaida.wewe tii amri utakayopewa.
sijakwambia uingize kichwa ardhini ukikamatwa.Mimi najielewa siyo muoga kama wewe!
Akija kwa utaratibu wala haina shida, kuwa askari siyo kwamba ndo kuwa mwamba bali ni mgawanyiko wa majukumu tu [emoji108][emoji108]
Kwamba yeye kama askari mimi naweza kuwa daktari akiumwa namtibu,
Au mwingine mhasibu anamlipa mshahara n.k
Na mwisho wa siku wanalipwa kodi zetu!
Mimi siyo wa aina yako [emoji108][emoji108][emoji108]
baba eh,ukisimamishwa uliza mnanisimamishia nini?? IGP wenu kasema muwe mnatwambia.Wewe mimi ninachokiandika nakielewa na hata boss wao IGP anasemaga kupitia vyombo vya habari askari wanaposimamisha mwananchi wanawajibu wa kumwambia sababu ya kumsimamisha na ndivyo kanuni zinavyotaka kiutendaji katika haki za binadamu!
Wewe baki na nidhamu zako za woga!
Huo umbea ndio maana mnapata ajali, picha lenyew ulilopiga ni la ovyo halina chochote..Kumezuka mtindo askari waliovaa mavazi kama ya FFU combat za kijani kukamata magari kwa visingizio mbalimbali.
Wengi pia hukamata waendesha boda boda na kuwakung'uta mifuko yaani kuwapiga mkwara watoe rushwa. Pichani askari wawili wa aina hiyo wakiwa wanazunguka zunguka kutafuta wateja maungio ya barabara inayotoka Karume na inayotoka Veta Chang'ombe.
Ukivuka tu reli kama umetoka ile barabara inayotoka Ilala, Karume ikapita Machinga Complex kukutana na Nyerere Road.
Ni mara nyingi hawa askari huwa wanapita wakiwa na silaha kutafuta tafuta watu wa kuwapiga mkwara na kupewa rushwa.
Tabia hii naomba niulize kwa mamlaka je hawa FFU pia hufanya kazi za traffic? Maana mara nyingi nimewakuta hata wakisimamisha magari na kukagua. Lakini cha kujiuliza hawana hata zile mashine za kutoa risiti wakilipwa pesa.
Je hawa wamehalalishwa kufanya haya wayafanyayo? Ni nani anapasea kukamata raia kwa makosa ya vyombo vya usafiri au madereva barabarani?
View attachment 1257944
View attachment 1257945
Kumezuka mtindo askari waliovaa mavazi kama ya FFU combat za kijani kukamata magari kwa visingizio mbalimbali.
Wengi pia hukamata waendesha boda boda na kuwakung'uta mifuko yaani kuwapiga mkwara watoe rushwa. Pichani askari wawili wa aina hiyo wakiwa wanazunguka zunguka kutafuta wateja maungio ya barabara inayotoka Karume na inayotoka Veta Chang'ombe.
Ukivuka tu reli kama umetoka ile barabara inayotoka Ilala, Karume ikapita Machinga Complex kukutana na Nyerere Road.
Ni mara nyingi hawa askari huwa wanapita wakiwa na silaha kutafuta tafuta watu wa kuwapiga mkwara na kupewa rushwa.
Tabia hii naomba niulize kwa mamlaka je hawa FFU pia hufanya kazi za traffic? Maana mara nyingi nimewakuta hata wakisimamisha magari na kukagua. Lakini cha kujiuliza hawana hata zile mashine za kutoa risiti wakilipwa pesa.
Je hawa wamehalalishwa kufanya haya wayafanyayo? Ni nani anapasea kukamata raia kwa makosa ya vyombo vya usafiri au madereva barabarani?
View attachment 1257944
View attachment 1257945
HALAFU WANATUAMBIA OPERESHENI KEMEA RUSHWA N NGUMU NILISEMA HIZI OPRN ZIKO MDA MREFU WANABADILISHA MAJINA KILA.MWAKA UTEKELEZAJI HAKUNAKumezuka mtindo askari waliovaa mavazi kama ya FFU combat za kijani kukamata magari kwa visingizio mbalimbali.
Wengi pia hukamata waendesha boda boda na kuwakung'uta mifuko yaani kuwapiga mkwara watoe rushwa. Pichani askari wawili wa aina hiyo wakiwa wanazunguka zunguka kutafuta wateja maungio ya barabara inayotoka Karume na inayotoka Veta Chang'ombe.
Ukivuka tu reli kama umetoka ile barabara inayotoka Ilala, Karume ikapita Machinga Complex kukutana na Nyerere Road.
Ni mara nyingi hawa askari huwa wanapita wakiwa na silaha kutafuta tafuta watu wa kuwapiga mkwara na kupewa rushwa.
Tabia hii naomba niulize kwa mamlaka je hawa FFU pia hufanya kazi za traffic? Maana mara nyingi nimewakuta hata wakisimamisha magari na kukagua. Lakini cha kujiuliza hawana hata zile mashine za kutoa risiti wakilipwa pesa.
Je hawa wamehalalishwa kufanya haya wayafanyayo? Ni nani anapasea kukamata raia kwa makosa ya vyombo vya usafiri au madereva barabarani?
View attachment 1257944
View attachment 1257945
Wacha wee!Watu wanaporwa hukuti wakiwafukuza na pikipiki zao kutwa kuhangaika na bodaboda na bajaji.
Kuna siku niliwahi kumchenchia mmoja maeneo ya flani
Yaani ww hata hujui ulisemalo,gari huna utasimamishwa kwa lipi..siku ukisimamishwa na polisi muulize kuhusu majukumu yake uone.Wewe mimi ninachokiandika nakielewa na hata boss wao IGP anasemaga kupitia vyombo vya habari askari wanaposimamisha mwananchi wanawajibu wa kumwambia sababu ya kumsimamisha na ndivyo kanuni zinavyotaka kiutendaji katika haki za binadamu!
Wewe baki na nidhamu zako za woga!
Upo sahihi kabisa. Ila swali la mtoa mada ni kuwa Askari kama huyo pichani unakuta anakagua bima, tairi, leseni mambo ambayo yapo nje ya kitengo chake. Angekua anakagua magendo sawa.mkuu kama sheria inampa mamlaka askari kukusimamisha na kukuhoji,ni ukichaa kuuliza anakusimamishia kitu gani.ndio maana jibu huja USIHOJI.
kuhoji huzalisha mashaka zaidi kwa askari,na kumuongezea umakini kukukagua ambao utasababisha upotevu zaidi wa muda.
NOTE msikariri kwamba kuna askari wa barabarani,askari polisi yoyote unayemjua,awe FFU au sijui nani,anayo mmlaka ya kukusimamisha kukuhoji na kukukamata.hizo rangi za nguo ni za vitengo vyao vya upolisi,ambavyo havibadili kabisa jukumu lao la msingi(UPOLISI).kifupi mwenye mamlaka ya kuhoji uhalali wa ffu kuwepo barabarani ni askari mwenzie sio mwananchi wa kwaida.wewe tii amri utakayopewa.
una hasira na maisha ya wengine sijui kwa sababu gani??kwani baada ya kufaulu bado hujawahi kuyapata maisha??Imebisaidia kugundua wale ambao wali fail. Kumbe hata akili nazo hawana si kwa bahati mbaya. Hilo linatosha na wakati wewe unatafuta watu wa kuwabambikia makosa upate pesa mimi nafanya maisha.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wewe utaendelea kuwa kama mbwa.
mkuu labda kama unachukizwa nao mpaka unapata upofu wa kuelewa nini hasa kazi zao.Upo sahihi kabisa. Ila swali la mtoa mada ni kuwa Askari kama huyo pichani unakuta anakagua bima, tairi, leseni mambo ambayo yapo nje ya kitengo chake. Angekua anakagua magendo sawa.
Halafu hana mashine ya kulipia faini, hivyo analazimisha rushwa ama muende polisi kwa traffic. Je hayo ndiyo majukumu waliyopangiwa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shida ni hio TEKNO uliyotumia mzee baba.
Wengi wakiona zile uniform wanafikiri ni FFU. FFU hawahusiki na hizo doria, wao ni ulinzi maeneo nyeti na kutuliza ghasia au operations ngumu ambazo askari wa kawaida hawawezi.FFu wanavaa kofia nyekundu, shati na suruali ya kijamii na buti. Hao jamaa Sina hakika Kama Ni ffu.
hakuna rushwa pasipo mtoaji, nasheria zipo wazi atoae au amshawishie mtu kupokea kushwa nae anakosa kwani hao wanoatoa rushwa huwa wananyang'anywa hela mfukoni mbona ka watu wanapiga kelele ilahali wenyewe ndo wanawaomba askari wasiwaandikie makosa ama wanatoa hela ili wasikaguliwe vilivyoo, watu waache unafiki bana kilasiku tunaona wafanyayo maderevaaa hasa wa daladala na gari nyingine binafsimkuu labda kama unachukizwa nao mpaka unapata upofu wa kuelewa nini hasa kazi zao.
huyo traffic ataishia kwenye reseni tu sababu ya kuokoa muda wake.huyu ataanzia hapo na kwenda mbali zaidi sababu hana mpaka.
hili la rushwa ni swala mtambuka.maana unatoa nayeye anapokea,habari ya kusema kana wanataka rushwa ni unafiki.sababu kama unaona wanakosea kubali ukalipe fine na risiti kwenye mashine,kituoni au kwa traffic uende zako.