>‘Tumemhoji kwa haraka na amekiri ni kweli hizi sare sio zake na wala hajawahi kuwa kwenye mafunzo yeyote ya kijeshi bali ameiba begi la muumini ambae alikuwa anaswali katika msikiti siku nne zilizopita huyu muumini ni Askari Polisi wa hapa mkoani;- Ahmed Msangi
Hahah why mkuuSi bora angevaa za security guard angependeza na kupewa heshima kidogo kuliko hizo.
Wewe nawe hebu achwa ujinga hapa, huyo hata kama ajira zinatoka atapata ajira gani? Maana inaonesha kabisa ni std 7 failure, yaani nguo za Polisi unavalia suruali ya kiraia ndani? Unatupia kwenye kiatu chochote tu? Mkanda unafunga tambara? Mwacheni akanyee debe tena wawahishe hiyo kesi hakuna cha upelelezi eti haujakamilika! Alifikri nguo za Polisi huwa zinatupiwa tu?!!wapeni watu ajira aya mambo yatapungua hakika.!!
Kwani ana level gani ya elimu?wapeni watu ajira aya mambo yatapungua hakika.!!
yah hivi ndo inatakiwa iweHawa police naona wako tofauti na wajeda,wajeda wakikukamata na sare zao wanakutifua vibaya sana wakikuachia hurudii tena kutinga sare zao
-Nyerere-