Acheni utani, jambazi hawezi kutoroka mahakamani, alitoroshwa.View attachment 649467
POLISI mkoani Mara, Ephraim Lazaro (G- 1379), ameuawa kwa kupigwa risasi na mtu anayedaiwa kuwa ni jambazi aliyekuwa ametoroka kutoka mahakamani zaidi ya mwezi mmoja uliopita na kufuatiliwa baada ya kupata taarifa zake mahali alipokuwa.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Jafar Mohamed, alisema tukio hilo lilitokea juzi saa 7.00 mchana katika Kata ya Buruma wilayani Butiama ambako askari walikwenda eneo hilo kumfuatilia mtuhumiwa.
Alisema askari wake alipigwa risasi na jambazi huyo aliyefahamika kwa jina la Mbogo James, maarufu kwa jina la China.
Alisema jambazi huyo alikamatwa akiwa na wenzake wawili.
Alisema mtuhumiwa alikuwa akitafutwa baada ya kutoroka mahakamani akiwa anakabiliwa na kesi ya mauaji na unyang’anyi wa kutumia silaha iliyokuwa ikimkabili.
“Tulipata taarifa za mtuhumiwa huyu na askari wetu walikwenda kumfuatilia eneo husika.
“Kwa bahati mbaya kabla hawajamfikia kumkamata alikuwa na silaha na alifyatua na kumpata askari wetu ambaye alifariki dunia muda mfupi baada ya kufikishwa hospitalini.
“Jambazi huyu aliuawa akitaka kufanya jaribio la kutoroka na wenzake wawili walifanikiwa kukimbia.
Chanzo: Mtanzania
Jumatano ya Juma lililopita kuna jamaa aliruka kwenye gari la Polisi mitaa ya Barakuda Segerea,askari walikuwa wamejisahau,wanastuka jamaa ameshatua chini akakimbilia ubavuni mwa daladala ambako kulikuwa Na watu wengi.Askari wakabaki wameduwaa wakashindwa hata kumlenga risasi maana jamaa aliviringika kikomandoo katikati ya watu akatimka zake mbio Na kutokomea mtaani.Gari la Polisi hata halikusimama.Acheni utani, jambazi hawezi kutoroka mahakamani, alitoroshwa.
Maigizo ya viongozi wa CCMAcheni utani, jambazi hawezi kutoroka mahakamani, alitoroshwa.
Jumatano ya Juma lililopita kuna jamaa aliruka kwenye gari la Polisi mitaa ya Barakuda Segerea,askari walikuwa wamejisahau,wanastuka jamaa ameshatua chini akakimbilia ubavuni mwa daladala ambako kulikuwa Na watu wengi.Askari wakabaki wameduwaa wakashindwa hata kumlenga risasi maana jamaa aliviringika kikomandoo katikati ya watu akatimka zake mbio Na kutokomea mtaani.Gari la Polisi hata halikusimama.
Jumatano ya Juma lililopita kuna jamaa aliruka kwenye gari la Polisi mitaa ya Barakuda Segerea,askari walikuwa wamejisahau,wanastuka jamaa ameshatua chini akakimbilia ubavuni mwa daladala ambako kulikuwa Na watu wengi.Askari wakabaki wameduwaa wakashindwa hata kumlenga risasi maana jamaa aliviringika kikomandoo katikati ya watu akatimka zake mbio Na kutokomea mtaani.Gari la Polisi hata halikusimama.
Na mie nilielewa hivyo maana gari lingesimama wengine wangesepaYaani ulitaka hilo gari lisimame ili wote waishie?? Tumia busara kidogo mkuu. Dereva huyo alikuwa na uelewa mzuri wa kazi yake. Aliyetoroka atapatikana tu.
lakini akiwa mahakamani hatakiwi kufungwa kwa vyovyote, sasa pale ndio yeye huwa anaruka na kutoroka, anajichanganya na watu, polisi wanaogopa kurusha risasi itapiga raia waliokuja kusikiliza kesi na yeye anatumia raia kama shield ndio anatokomea hivyo. na wana mbio balaa. nilshashuhudia kwa watu kama wawili wakitoroka mchana kweupe, ni raisi tu, timing. afu ni mpango tu, unakumbuka yule wa kisutu aliyejaribu kuruka fense akapigwa risasi, kuna noah ilikuwa inamsubiri kule nyuma angeruka tu ule ukuta kuna noah ilikuwa inamkimbiza akatokomee mbali huko. jambazi mmoja akiwa ndani, jua kuna wenzie kama 20 hivi huku nje wananafuta namna ya kumtoa mwenzao kwa namna yeyote ile, kwa pesa, kwa vyovyote vile.watuhumiwa wa kesi za mauaji hasa majambazi makatili waende mahakani wakiwa na chain miguuni hizo pingu za mikononi peke yake hazisaidii kitu kwa hao makatiri...RIP askari wetu.