YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,900
- 52,036
Tumeona jiji likiendelea na shughuli zake za kiuchumi kama kawaida pasipo bugudha mabarabarani za wanasiasa wagombea uraisi walipokuwa wakirudisha fomu za ugombea uraisi tume.Hali ni tofauti na walipochukua fomu ambapo watu walijaa mabarabarani wa vyama vyote na kulifanya jiji lionekane kama jiji la maruhuni kwa masaa mengi.
Watu daladala zetu zilishindwa kufanya kazi.Biashara zilisimama yaani ilikuwa taabu juu ya taabu.
Polisi tunashukuru kwa kuvifundisha vyama ustaarabu kwenye siasa.Yaani hakuna bughudha kwa mwananchi msaka riziki yake.Jiji limetulia hadi raha/Siasa zinaendelea na watu wanaendelea na shughuli za maisha kama kawaida.
Asante polisi