sijui man kwasababu mie naona kuwalaumu polisi wote si vyema wapo wachache ndio ambao wanakosa maadili man!!sema kwasababu watu bado mna hasira na mauaji ya Arusha ndio maana mnasema hivyo ila kwakweli amani ya Tanzania inapotezwa na jeshi la polisi sababu hawaheshimu haki za raia kweli inatia uchungu sana wamekua wababe sana kwa raia na ndio maana watu wanafurahi kweli kuna haja kubwa kwa serikali kulitazama hilo wasichukulie simple kuna siku tyatahamia kwa viongozi!
Nipo mkuu ila naona watu washajulishwa kila kitu kuwa yule askari alikuwa na 50 zake hadi kifo kinamkuta mkuu. Nilichokiona ni kuwa watu wanachuki sana na Polisi kiasi cha kufikia kushabikia kifo kama vile wanamkomesha IGP Mwema.
Mungu ailaze roho ya marehemu. Amen.
ooho..sasa walokua wanashabikia labda watuambie ni majambazi wa chama gani walioua
Aliyetufikisha hapa ni JK na RA wakisaidiwa na EL pamoja na Chenge kwa ridhaa ya Ben Mkapa.
kwa police hata mi najionea sawa,hivi umeshawai kuona mbwembwe zao hao vilaza,mara ngapi umeckia wakiua?kwakuwa bnadam wote 2takufa,wacha wawafe,cjauzunikasiamini mtu unafurahia binadamu mwingine kutoa roho ya mtu