Bwana Mapesa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,551
- 1,777
Watakwambia wewe mchochezi, Mkulu mwenyewe alishasema askari lazima watembee kifua mbeleKatika pita pita nimekutana na hii video ikimuonyesha askari Polisi kijana kabisa akippkea rushwa kutoka kwa dereva wa gari ndogo. Pamoja na hali ilivyosasa lakini mambo bado hayajabadilika.Mamshauri Mh. Magu aondoe mifuko kwenye sare zao labda kidogo tutapunguza hili tatizo.
Askari Polisi akipokea Rushwa live
Katika pita pita nimekutana na hii video ikimuonyesha askari Polisi kijana kabisa akippkea rushwa kutoka kwa dereva wa gari ndogo. Pamoja na hali ilivyosasa lakini mambo bado hayajabadilika.Mamshauri Mh. Magu aondoe mifuko kwenye sare zao labda kidogo tutapunguza hili tatizo.
Hahaaa wataweka kwenye kofia.Katika pita pita nimekutana na hii video ikimuonyesha askari Polisi kijana kabisa akippkea rushwa kutoka kwa dereva wa gari ndogo. Pamoja na hali ilivyosasa lakini mambo bado hayajabadilika.Mamshauri Mh. Magu aondoe mifuko kwenye sare zao labda kidogo tutapunguza hili tatizo.