Tukiambia tumo ndani ya shithole country tunapiga kelele,kweli uchunguzi wa kitaalamuliofanyika umejiridhia kuwa marehemu alifariki baada ya kunywa pombe kwa wingi!!!!,hivi pale hospital ya mkoa kuna foresinc phothologist?ningependa nimuulize maswali magumu sana,but sometime hii nchi inatia hasira sana,pole mno kwa ndugu waliofiwa ila wanahaki ya kumtafuta private foresinc phothologist afanye uchunguzi upya,ila sitowalaumu maana kwana hatuna watu wa fani hii na uwezo pia hamna,huyu naye ni another one wanaozikwa na wanaondoka na ushahidi wao,why hakufanyiwa toxics test?why wanakimbilia kwenye majibu rahisi na kwa ufinyu wetu tunayakubali tu.