Tukiambia tumo ndani ya shithole country tunapiga kelele,kweli uchunguzi wa kitaalamuliofanyika umejiridhia kuwa marehemu alifariki baada ya kunywa pombe kwa wingi!!!!,hivi pale hospital ya mkoa kuna foresinc phothologist?ningependa nimuulize maswali magumu sana,but sometime hii nchi inatia hasira sana,pole mno kwa ndugu waliofiwa ila wanahaki ya kumtafuta private foresinc phothologist afanye uchunguzi upya,ila sitowalaumu maana kwana hatuna watu wa fani hii na uwezo pia hamna,huyu naye ni another one wanaozikwa na wanaondoka na ushahidi wao,why hakufanyiwa toxics test?why wanakimbilia kwenye majibu rahisi na kwa ufinyu wetu tunayakubali tu.Alisema baadaye walipohojiwa watu waliomleta walidai kuwa alikuwa amekunywa kiasi kikubwa cha pombe, hivyo uchunguzi wa kitaalam wa sababu ya kifo chake ni kwamba alikuwa amekunywa pombe kwa kupindukia.
Alisema mtoa taarifa alieleza kwamba wakati askari huyo anaingia Friend's Pub, aliteleza na kuanguka kwenye ngazi na baadaye alimwinua na kumtoa nje kisha askari huyo alirejea na kukaa kwenye kochi wakati huo mhudumu akiendelea kuhudumia wateja.
“Ilipofika majira ya saa 4:15 asubuhi jana (juzi), wahudumu wakiwa wanafanya kazi za usafi, ndipo walipomwona PC Donald akiwa kwenye kochi wakidhani amelala lakini walipojaribu kumwamsha hakuamka ndipo walipotoa taarifa polisi. Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufani ya Mkoa wa Ruvuma
Dk. Lumbe alifafanua kuwa baada ya kufanya uchunguzi wa kitabibu ilionekana kuwa askari huyo ameshafariki dunia muda mrefu uliopita na kwamba uchunguzi huo ulionyesha hakuwa na mchubuko wowote isipokuwa kulikuwa na mchubuko mdogo kwenye shavu la kushoto.
Alisema baadaye walipohojiwa watu waliomleta walidai kuwa alikuwa amekunywa kiasi kikubwa cha pombe, hivyo uchunguzi wa kitaalam wa sababu ya kifo chake ni kwamba alikuwa amekunywa pombe kwa kupindukia.
Sawa, Wamzike na kreti lake la Pombe
Dah... Akili nyingine bana... dahTUKISEMA POLISI NI MBWA MNAKATAA ULAFI GANI HUO ?SI AJABU POMBE ZENYEWE NI OFFER ZA WATUHUMIWA WA UONGO
The Last Safari to PagakPombe ikinywewa kupita kiasi inakuwahisha "pagak"!
Hilo nimeliona Mkuu.tuna shida.ukizingatia aya ya mwisho kama uko makini unabaki kujiuliza bila jibuHii taarifa imetolewa "POA" sana. Hakuna dalili ya weledi kwenye uzito WA tukio la kifo.
Ooh... Yeah! Right there with ancestors!The Last Safari to Pagak