Police wameua Raia kwa kuwapiga risasi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Police wameua Raia kwa kuwapiga risasi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Giddy Mangi, Mar 8, 2011.

 1. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Musoma ni Tanzania?mbona tulio waajiri kutulinda na mali zetu wanatuua?JK NA SAID MWEMA vipi?
   
 2. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Watu wawili wameuawa na polisi mkoani mara baada ya askari polisi kufyatua risasi kuwatawanya watu waliokua wakiwashambulia watuhumiwa wa uchawi. Taarifa zinasema wananchi wamewashambulia na kuwachoma moto watu wawili wawili kwa tuhuma za kujihusisha na uchawi. Kwa mujibu wa kamanda wa polisi mkoa wa mara polisi walilazimika kufyatua risasi hewani kuwatawanya wananchi lakini wananchi hao wenye hasira walianza kuwashambulia polisi ndipo polisi walipojihami na kuua raia wawili.........................................source: itv-habari.
   
Loading...