JAMAA.mmoja alikutwa na police anakojoa sehemu iliyoandikwa hakuna kukojoa police akamwambia faini .500 jamaa akatoa elfu .10000 police akamwambia malizia mkojo wako sina chenji? jamaa akakataa" police akamwambia itabidi kilasiku utoke kwako uje ukojowe uku ili chenjiyako iishe. chezea rushwa ww!!?