siwapendi polisi......
Tumekukosea nini dada, mbona sisi ni kama raia wengine kwenye jamii
Si wanalipa au wanataka bure???
siku ukiletwa kituoni tutayachezea hayo masuburi mbaya kabisa.siwapendi polisi......
......tena usinisemeshe kama wewe ni mmoja wao!!! :tape2::shut-mouth:
i need a painkiller.........πainkiller:
Pole na pia niombe radhi kwa jinsi ulivyo react hadi unaomba painkiller online, mimi sio mmoja wao ila hiyo ni njia mojawapo niliyotumia ili uweze kutujuza kwa nini huwapendi hao jamaa wanajiita walinda usalama wa raia na mali zao.
Ila kwa vile tu ni binadamu walioubwa na Mwenyezi Mungu na wengine ni ndg zetu kumbe basi hatupaswi kuwachukia hivyo.
Imeandikwa kama utamchukia ndg yako unayemjua/kumfahamu je utawezaje kumpenda Mungu wako ambaye haonekani (Niwie radhi kama nimekukera dada)