Polepole wewe ndio msemaji wa Serikali?

kwani mange ndio msemaji wa wa watu siku hizi..siasa hizo zinamfaa aliyejibu!!



kwanza seriklali haiwezi kumjibu mange?...itamjibu kama nani?!!
Lakini hata waziri Kigwangwala huwa anajibizana na Mange kwa niaba ya serikali.
 
Nani kaanzisha thread?Tatizo uliishi kwa kujipendekeza. Sasa unajipendekeza mahali pasipo sahihi.Na hii haikuwasaidii sana kurugenzi ya habari. Ukweli mchungu ni kwamba penda usipende Mange ktk ktk ile back to back waliyokuwa wanapiga na mzee wa kudai vyeti, waliibuka kidedea na mitaani watu wanasubiri sana kusikia nini wanatoa kipya. Si busara sana kuleta njaa zako na kudanganya watu kuwa wanachoongea hakina msikilizaji.
 
Ungekuwa na akili ungejiuliza anatumwa na nani kumjibu au mbona mabosi wake hawamkatizi kumjibu kama hatumwi na mtu.
 
Ungekuwa na akili ungejiuliza anatumwa na nani kumjibu au mbona mabosi wake hawamkatizi kumjibu kama hatumwi na mtu.
Na wewe unatumwa na nani na kihere here chako? Mbona hatukuulizi?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Polepole hajitambuwi na hata hajui analopaswa kuongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…