Polepole: Waliopinga katiba ya Warioba wamehama

Polepole: Waliopinga katiba ya Warioba wamehama

Katika mahojiano na kituo cha BBC Swahili DSM lofa Humphrey Polepole amedai wale walioipinga katiba pendekezwa ya wananchi wamehama hivyo amependezewa na jambo hilo.

Hapa naamini huyu sasa ni Lofa na Mpumbavu.
Labda hajielewi. Hivi ameshau kwamba mgombea mwenza wa ccm ndiye aliekuwa naibu spika au makamu mwenyekiti wa lililokuwa bunge maalum la katiba? Huo sasa ni kiwango cha juu cha ujinga. Ndo mana mkapa akatuita wapumbavu na malofa. Yaani watanzania tunajiaibisha wenyewe! Hajui hata ni nani aliekuwa anapinga maoni ya wananchi? Hata hotuba ya JK wakati anafungua Bunge maalum ameisahau??? Hii ni hatari kwa ustawi wa taifa. Ina maana alikuwa akipigana bila kujua anapigana na nani?
 
Mimi nilimsikia na nikamshangaa aliposema eti CCM haijatawala miaka 50+ kwa kuwa eti kabla ya hapo kulikuwa TANU na ASP, nikaingiwa na mashaka kidogo, na uwezo wake wa kuelewa mambo, TANU na ASP zilizaa CCM ambpo katiba mbili ziliunganishwa na kupata KATIBA ya CCM viongozi wakawa ni walewale ambao mpaka leo wapo CCM akina Mzee Kingunge, Mzee Msekwa, Mzee Hassan nassor Moyo nk. Inawezekana wanaosema kawezeshwa ili ajitoe akili kweli hawajakosea kuna kila dalidali hizo. JAMAA ANABORE SANA AACHE KUHAMA CHOMBO CHA HABARI KIMOJA KWENDA KINGINE ANATAFUTA NINI?
 
wewe acha usanii ndo maana watu wanasema swala la ukawa lifutwe ni kiini macho kuriko maigizo ya ukawa ili ibaki ccm ya kukataa na cdma ya kukata chini ya lowasa,ili tuelewe ,
wewe kila wasemalo watu ni fact?sasa wapuuzi waliolelewa ktk akili zilizolala za kijamaa wakisema ...kitakuwa kitu cha maana zaiid y uozo?
 
Na ashafanywa katuni kila sehemu anaitwa aongee ili aendelee kujidharirisha, yeye naona ni sifa kumbe...
 
polepole yuko sahihi mumemkera kuwaondoa wahasisi wa katiba ya wananchi na kutafuta wauni kukalia kiti kitakatifu,
nakumbuka kauri yake alisema ccm ,ukawa wakisimamisha fisadi nitawambia watanzania kuwa huyu ni fisadi hafai,
polepole ni mzarendo na mtu sahihi na ndo maana mumeanza kumvamia usiku inawezekana mnamtisha ili hasiseme ukweli ,
lakini hata akinyamaza milima itasema ukweli mungu hafanyiwi unafiki,,

Nakuweka kwenye kundi lile.
 
Back
Top Bottom