Polepole: Waliopinga katiba ya Warioba wamehama

Polepole: Waliopinga katiba ya Warioba wamehama

Mpalakugenda

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2015
Posts
4,649
Reaction score
5,074
Katika mahojiano na kituo cha BBC Swahili DSM Humphrey Polepole amedai wale walioipinga katiba pendekezwa ya wananchi wamehama hivyo amependezewa na jambo hilo.
 
Na Makamu mwenyekiti ambaye ni mgombea mwenza wa Magufuli na Magufuli mwenyewe Walikuwa part of mkwamo
 
Nimemsikia Polepole pia na ndio nikaelewa ni kwa nini nchi za wenzetu mfano kocha akishinda kombe kubwa anaamua kujiuzulu.
Huyu bwana alikuwa amefanya kazi fulani nzuri katika katiba na angeliamua kukaa kimya kama Jaji Agustino heshima yake isingeshuka kiasi hiki. Mwalimu alitufundisha juu ya kura nyama ya mtu na ni wazi Polepole ana chuki binafsi na EL ambapo naamini hata Lowassa asipokuwepo ataiamishia kwa mtu mwingine. Chuki binafsi sio nzuri.
Na katanabaisha wazi kuwa walijadiliana ndani ya chama ili kuwakata watu fulani na wakahakikisha wamekatwa (sina uhakika kama miongoni mwao alikuwemo Jaji Ramadhani, Pinda, Sumaye, Mahiga nk), ushahidi mwingine wa wazi kuwa taratibu za chama chao zilikiukwa na kuna wakubwa waliokuja na majina mifukoni!
 
Rushwa ni kitu kibaya sana! Huyu Polepole kajitoa ufahamu na kuamua kuhubiri asichokiamini moyoni mwake!
 
Polepole ni mwadhiraka wa umaskini + kaugonjwa kapya.
 
Nimemsikia pia nikashutuka baada yakuskia akitamka hivyo na nikajiuliza je,? Magufuli naye kahama? Kikwete naye kahama? Samia Suluhu naye kahama? Chenge naye kahama? Kiukweli Polepole alitakiwa kutambua yakuwa baada ya tume ya Warioba kuwekwa kando na CCM pamoja na serikali yake tuliwafariji na kuwaPIGIA LIKE sisi walala hoi...sasa kuna ulaizima wale ambao tuli-LIKE page Yake ku-DisLIKE...hakuna sababu yakuendeleza mapenzi kwa mtu aliyetukosea heshima namna hii
 
Nimemsikia Polepole pia na ndio nikaelewa ni kwa nini nchi za wenzetu mfano kocha akishinda kombe kubwa anaamua kujiuzulu.
Huyu bwana alikuwa amefanya kazi fulani nzuri katika katiba na angeliamua kukaa kimya kama Jaji Agustino heshima yake isingeshuka kiasi hiki. Mwalimu alitufundisha juu ya kura nyama ya mtu na ni wazi Polepole ana chuki binafsi na EL ambapo naamini hata Lowassa asipokuwepo ataiamishia kwa mtu mwingine. Chuki binafsi sio nzuri.
Na katanabaisha wazi kuwa walijadiliana ndani ya chama ili kuwakata watu fulani na wakahakikisha wamekatwa (sina uhakika kama miongoni mwao alikuwemo Jaji Ramadhani, Pinda, Sumaye, Mahiga nk), ushahidi mwingine wa wazi kuwa taratibu za chama chao zilikiukwa na kuna wakubwa waliokuja na majina mifukoni!

Una busara sana mkuu. Hekho
 
Nami nimemsikia vizuri sana. Sasa swali la kumuuliza ni: Wabunge wote na mawaziri wa CCM wao waliyakubali maoni ya wananchi? Na kama waliyakubali mbona hawakutoka nje kama ishara ya kutokubali kuhujumu maoni ya wananchi? Ni EL tu aliyekuwa kikwazo? Ndiye aliyependeleza serikali 2 pekee yake ndani ya CCM?

Hivi EL ndiye aliyetoa agizo la wabunge wote wa CCM na mawaziri kukataa maoni ya wananchi? Kweli kwenye mahaba muhusika huwa kipofu. H. Polepole hongera kwa mapenzi ya dhati uliyonayo kwa CCM
 
Hakuna kitu kibaya katika maisha kama kudhulumu nafsi kwa kufanya usichoamini kisa umepewa hela au ahadi ya kitu fulani. Huyu jamaa najua anachoongea sicho anachoamini lakini analzimika kukisema kutimiza matakwa ya wanaomtuma inafika mahali unamuona kabisa anaweweseka lakini anajikaza ni mbaya sana kwenye maisha. Sasa kaja na kick kuwa kavamiwa nyumbani kwake kweli umaskini mbaya sana
 
Mi nadhani kuna fungu ametengewa na CCM kwa kazi kubwa anayoifanya, sio bure
 
HP alikuwa moto wa kuotea mbali wakati wa vikao vya mbunge la katiba lilikuwa likiendelea Dodoma, nilidhani anauchungu na maoni ya wananchi, kumbe kajamaa na katiba ya wananchi ni vitu viwili tofauti......

polepole yuko sahihi mumemkera kuwaondoa wahasisi wa katiba ya wananchi na kutafuta wauni kukalia kiti kitakatifu,
nakumbuka kauri yake alisema ccm ,ukawa wakisimamisha fisadi nitawambia watanzania kuwa huyu ni fisadi hafai,
polepole ni mzarendo na mtu sahihi na ndo maana mumeanza kumvamia usiku inawezekana mnamtisha ili hasiseme ukweli ,
lakini hata akinyamaza milima itasema ukweli mungu hafanyiwi unafiki,,

ccm imepotosha vijana wengi sana , huyu polepole kajisahau anaongea kama vile hatakuwepo tena mwakani !
 
Mi nadhani kuna fungu ametengewa na CCM kwa kazi kubwa anayoifanya, sio bure

anasema ukweli kama kweli ukweli leo hii slaa aliyegomea katiba yuko wapi,au na wewe umenunuliwa kwenye bilion 10 za mbowe,
na kama anayoyasema hayana ukweli na hayawagusi kwanini mnamfata usiku saa nane mnataka kunfanya nini kama anachokisema hakiwagusi?
mungu atalipa tu maana malipo ni duniani
 
Duuuu . . . .
 
Hàta Mimi Nimemsikia akiongea

Halafu anadai eti walikubaliana ndani ya Ccm kuwa wagombea wenye Sura yenye MADOA MAKUBWA wakatwe ; Na hilo limefanikiwa
Anafurahia mno
 
Nimesikitishwa sana na kauli yake. Inshallah ipo siku. CCM wametufanya mbumbumbu kwa miaka mingi. Ila ipo siku.
 
Nashukuru hata POLEPOLE AKIONGEA HAJUI nini nini kinamshitaki ktk porojo zake zote.
 
ccm imepotosha vijana wengi sana , huyu polepole kajisahau anaongea kama vile hatakuwepo tena mwakani !

polepole unamlinganisha na nani? mnyika aliyeyeyuka na nyeraka za richmond ? na kwakuwa nawambia ukweli ndo maana mumeamua kumfata usiku saa nane ili kumfanyia umafya kwenda ikulu mpaka ufanye umafya je ukiwa mkulu na vyombo vya dora utafanyaje,shetani huyo anayewatumia watu akizani sisi hatumjui mungu anamjua,

Nashukuru hata POLEPOLE AKIONGEA HAJUI nini nini kinamshitaki ktk porojo zake zote.

achana na polepole kamwambie aliyemtumia watu kupitia mtandao wake saa nane usiku ili kumfanyia umafya ikulu ni ya watakatifu wala umafya hautamsaidia,

Back
Top Bottom