GE2025 Polepole unapomshauri Samia aseme nini kwenye kampeni, unatuona sisi Watanzania ni mazuzu?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,946
Reaction score
38,656
Ndugu Humphrey Polepole akizungumza na jamii kupitia Social Media siku chache zilizopita, amemtaka Rais Samia kuzungumzia masuala ya Wanyonge, Ujamaa, haki na kadhalika kwenye kampeni zake kuelekea uchafunzi mkuu hapo 29 Oktoba 2025.

Pamoja na mambo mengine, mimi ninakubaliana na baadhi ya hoja za Polepole. Lakini hili la kumshauri Samia aseme nini kwenye kampeni zàke, ninaona ni kama Polepole anatupiga changa la macho kwa maneno yanayojipinga

Haya ndiyo maoni na mtazamo wangu kwenye hili la kumshauri Samia
  1. Polepole anatuambia anapinga uchaguzi mkuu kufanyika kwa sababu taratibu, utamaduni na desturi nzuri za ndani ya CCM zimekiukwa
  2. Polepole anatufumbua macho kuhusu CCM kuingilia uchaguzi kupitia muunganiko wa kimtandao baina ya NIDA na NEC chini ya udhibiti wa CCM
  3. Polepole anauanika mtandao wa mafisadi na mbinu zao za kuibagaza na kuibananga Tanzania.
  4. Polepole sasa anakuja na hoja za kumshauri Samia aongee nini kwenye kampeni zake. Hapa pia analalamikia msaidizi aliyepo ofisi binafsi ya Rais kwa kumshauri vibaya.
Swali moja kwake Polepole. Ndugu Polepole unatuonaje sisi Watanzania?
 
Niliwahi kutoa maoni kuhusu Polepole kuna watu wakaja kujifanya wanapinga.

Ila kwa wenye akili hawawezi kupoteza muda kumfatilia maana yule ni mwanachama mtiifu wa CCM na hata maoni yake ukiyaangalia yanakuonesha hilo.

Katika yooote anayoongea dhumuni lake kuu linabaki CCM ibaki madarakani ila ifanye reforms zinazomfurahisha yeye.Kifupi nae anataka kuwa karibu na keki.

Yule mengi anayoyasema hayana madhara yoyote kwa CCM siku akisema yenye madhara basi taamini hana mpango wakurudi Tz na amedhamiria kweli.

Ila kwasasa anacheza na akili za anaowajua wanafata upepo unapovuma.
 
Polepole awaone mazuzu mara ngapi ?
 
Yawezekana hii ikawa karata tatu kama siyo kisa cha kununua dhahabu feki kwa fedha feki. Hiyo ndo Bongolalaland yetu unfortunately and sadly.
 
Ndugu Humphrey Polepole akizungumza na jamii kupitia Social Media siku chache zilizopita, amemtaka Rais Samia kuzungumzia masuala ya Wanyonge, Ujamaa, haki na kadhalika kwenye kampeni zake kuelekea uchafunzi mkuu hapo 29 Oktoba 2025.

Pamoja na mambo mengine, mimi ninakubaliana na baadhi ya hoja za Polepole. Lakini hili la kumshauri Samia aseme nini kwenye kampeni zàke, ninaona ni kama Polepole anatupiga changa la macho kwa maneno yanayojipinga

Haya ndiyo maoni na mtazamo wangu kwenye hili la kumshauri Samia
  1. Polepole anatuambia anapinga uchaguzi mkuu kufanyika kwa sababu taratibu, utamaduni na desturi nzuri za ndani ya CCM zimekiukwa
  2. Polepole anatufumbua macho kuhusu CCM kuingilia uchaguzi kupitia muunganiko wa kimtandao baina ya NIDA na NEC chini ya udhibiti wa CCM
  3. Polepole anauanika mtandao wa mafisadi na mbinu zao za kuibagaza na kuibananga Tanzania.
  4. Polepole sasa anakuja na hoja za kumshauri Samia aongee nini kwenye kampeni zake. Hapa pia analalamikia msaidizi aliyepo ofisi binafsi ya Rais kwa kumshauri vibaya.
Swali moja kwake Polepole. Ndugu Polepole unatuonaje sisi Watanzania?

Polepole ni machine kubwa na makombora yake inabidi kuwa umesoma Kuba kuyaelewa.

Polepole anasema hiyo timu yote itaishia jela, inamiliki magenge ya watekaji, imehusika na ma uchafu mengi.

Wewe hudhani ushauri wa Polepole ni kama kumuingizia mtu ukimwi ahangaike nao?

Kwani ukimwi huuwa au yale nyemelezi?
 
Anang'ata na kupuliza kama zimwi likujualo
 
Ndugu Humphrey Polepole akizungumza na jamii kupitia Social Media siku chache zilizopita, amemtaka Rais Samia kuzungumzia masuala ya Wanyonge, Ujamaa, haki na kadhalika kwenye kampeni zake kuelekea uchafunzi mkuu hapo 29 Oktoba 2025.

Pamoja na mambo mengine, mimi ninakubaliana na baadhi ya hoja za Polepole. Lakini hili la kumshauri Samia aseme nini kwenye kampeni zàke, ninaona ni kama Polepole anatupiga changa la macho kwa maneno yanayojipinga

Haya ndiyo maoni na mtazamo wangu kwenye hili la kumshauri Samia
  1. Polepole anatuambia anapinga uchaguzi mkuu kufanyika kwa sababu taratibu, utamaduni na desturi nzuri za ndani ya CCM zimekiukwa
  2. Polepole anatufumbua macho kuhusu CCM kuingilia uchaguzi kupitia muunganiko wa kimtandao baina ya NIDA na NEC chini ya udhibiti wa CCM
  3. Polepole anauanika mtandao wa mafisadi na mbinu zao za kuibagaza na kuibananga Tanzania.
  4. Polepole sasa anakuja na hoja za kumshauri Samia aongee nini kwenye kampeni zake. Hapa pia analalamikia msaidizi aliyepo ofisi binafsi ya Rais kwa kumshauri vibaya
  5. Ndugu Humphrey Polepole akizungumza na jamii kupitia Social Media siku chache zilizopita, amemtaka Rais Samia kuzungumzia masuala ya Wanyonge, Ujamaa, haki na kadhalika kwenye kampeni zake kuelekea uchafunzi mkuu hapo 29 Oktoba 2025.

    Pamoja na mambo mengine, mimi ninakubaliana na baadhi ya hoja za Polepole. Lakini hili la kumshauri Samia aseme nini kwenye kampeni zàke, ninaona ni kama Polepole anatupiga changa la macho kwa maneno yanayojipinga

    Haya ndiyo maoni na mtazamo wangu kwenye hili la kumshauri Samia
    1. Polepole anatuambia anapinga uchaguzi mkuu kufanyika kwa sababu taratibu, utamaduni na desturi nzuri za ndani ya CCM zimekiukwa
    2. Polepole anatufumbua macho kuhusu CCM kuingilia uchaguzi kupitia muunganiko wa kimtandao baina ya NIDA na NEC chini ya udhibiti wa CCM
    3. Polepole anauanika mtandao wa mafisadi na mbinu zao za kuibagaza na kuibananga Tanzania.
    4. Polepole sasa anakuja na hoja za kumshauri Samia aongee nini kwenye kampeni zake. Hapa pia analalamikia msaidizi aliyepo ofisi binafsi ya Rais kwa kumshauri vibaya.
    Swali moja kwake Polepole. Ndugu Polepole unatuonaje sisi Watanzania?

  6. .

Nyie ni wapumbavu na wajinga, mmezidi level ya mazuzu. Mnashangilia huyo mtekaji, mbakaji, mlawiti, na muuaji wa watanganyika wasio na hatia. Tatizo lako akili yako imekwenda tumboni na kwenye makali= yako. Huyu anayefunga watu wasio na makosa, huyu Samia anayefungia watu wasishiriki uchaguzi kwa sababu anajua atashindwa, huyu Samia ambaye muda wake na Magufuli, term yao imeisha anang'ang'ania ili achaguliwe wakati hastahili kuwepo kwenye uchaguzi. Amepoteza sifa kwa tabia mbaya za mauaji na rushwa kubwa za kifisadi yeye na familia yake. Unamtetea kwa sababu ya tumbo lako shenzi wewe.
 
Niliwahi kutoa maoni kuhusu Polepole kuna watu wakaja kujifanya wanapinga.

Ila kwa wenye akili hawawezi kupoteza muda kumfatilia maana yule ni mwanachama mtiifu wa CCM na hata maoni yake ukiyaangalia yanakuonesha hilo.

Katika yooote anayoongea dhumuni lake kuu linabaki CCM ibaki madarakani ila ifanye reforms zinazomfurahisha yeye.Kifupi nae anataka kuwa karibu na keki.

Yule mengi anayoyasema hayana madhara yoyote kwa CCM siku akisema yenye madhara basi taamini hana mpango wakurudi Tz na amedhamiria kweli.

Ila kwasasa anacheza na akili za anaowajua wanafata upepo unapovuma.

Kabisa mkuu,

Kawapoteza watu maboya kujiuzulu ubalozi,

Watu hawastuki mzalendo anajiuzulu ubalozi miezi 4 kabla ya uchaguzi, na muda anaojiuzulu ibalozi ndo muda muafaka ws kutafuta wagombea ndani ya chama.

Solution yoyoyte isiyo husisha kuiondoa ccm sio solution.
 
Nyie ni wapumbavu na wajinga, mmezidi level ya mazuzu. Mnashangilia huyo mtekaji, mbakaji, mlawiti, na muuaji wa watanganyika wasio na hatia. Tatizo lako akili yako imekwenda tumboni na kwenye makali= yako. Huyu anayefunga watu wasio na makosa, huyu Samia anayefungia watu wasishiriki uchaguzi kwa sababu anajua atashindwa, huyu Samia ambaye muda wake na Magufuli, term yao imeisha anang'ang'ania ili achaguliwe wakati hastahili kuwepo kwenye uchaguzi. Amepoteza sifa kwa tabia mbaya za mauaji na rushwa kubwa za kifisadi yeye na familia yake. Unamtetea kwa sababu ya tumbo lako shenzi wewe.
KUmkataa polepole haimaanishi unamuunga mkono SSH.
 
Angalau amesema Samia hafai. Kwani Samia anafaa kwa lolote lile, wote wana matatizo lakini angalau amesema kwamba huyo CHURA BIN KIZIWI hafai.Eti wanamwita mama? Mama gani anauwa vijana wadogo kwa sababu ndogo ndogo, kuchoma picha ya mtu ndiyo mtu apewe adhabu ya kifo na polisi (apotezwe), Mdude Nyagali ameuawa kwa kusema tu serikali haifanyi vizuri....Nchi hii adhabu iliyopo ni KIFO tu kwa sasa. Hakuna adhabu nyingine, Sativa amenusurika kuuawa kwa ku-comment tu kwenye twitter, na hakumsema mtu yeyote. Yaani maisha ya watanganyika hayana thamani kuliko picha ya MUUAJI SAMIA? au ukisema neno lolote kuisasahihisha serikali unauawa. Nchi hii inaenda wapi? Yaana nyie wapumbavu hamuionei huruma, watu wanauawa bure na huyu mama fala asiye na adabu wala hekima.
 
Polepole kwa sasa ni shujaa wa nyumbu za CHADEMA. Nyumbu zilimtukana LEMA kisa kampinga Polepole. Hakuna watu warahisi kupotezwa mwelekeo kama wanachama wa CHADEMA. Ni watu waliozoea kutapeliwa.
Kama wanachama wa CHADEMA iliyoanzishwa 1992 wanaitwa "nyumbu" kwa kutapeliwa na
Polepole, je Watanzania tunaoendelea kutapeliwa na TANU/CCM tangu 1961 tunaitwa nani!!??
 
Nyie ni wapumbavu na wajinga, mmezidi level ya mazuzu. Mnashangilia huyo mtekaji, mbakaji, mlawiti, na muuaji wa watanganyika wasio na hatia. Tatizo lako akili yako imekwenda tumboni na kwenye makali= yako. Huyu anayefunga watu wasio na makosa, huyu Samia anayefungia watu wasishiriki uchaguzi kwa sababu anajua atashindwa, huyu Samia ambaye muda wake na Magufuli, term yao imeisha anang'ang'ania ili achaguliwe wakati hastahili kuwepo kwenye uchaguzi. Amepoteza sifa kwa tabia mbaya za mauaji na rushwa kubwa za kifisadi yeye na familia yake. Unamtetea kwa sababu ya tumbo lako shenzi wewe.
maskini lichadema limekua lishoga
 
Back
Top Bottom