Polepole unampoteza Zenda

Na wewe mhenga mambo na michezo ya watoto unaingilia! Waachie wenyewe watoane ngeu. Au umesahau figusu za uvccm zilvyoondoka na maisha ya mdogo wako (R. I. P my best friend)?

Du!!!! kumbe kubwa jinga!!!
 

Hivi inakuwaje kijana anakuwa mshabiki wa CCM mpaka kufikia hatua ya kugombania vyeo ndani ya taasisi hiyo dhalimu? Ningeshauri Sociologists watusaidie kutafiti hili jambo maana it is a puzzle. Kijana wa kisasa, na msomi mzuri anatarajiwa kuwa progressive. Lakini hawa vijana wamemaliza chuo kikuu, wanaishi Dar es Salaam na ni member wa JF but they are still so backward and conservative. What can explain this? I believe there is more to it than just njaa.
 

NIMUHIMU SANA KWA CHAMA NA JUMUIYA KUMCHUKULIA ZENDA HATUA ZA KINIDHAMU, MPAKA HAPO AMEKOSA MAADILI NA ANAPASWA KUSHUGHULIKIWA.
 
NIMUHIMU SANA KWA CHAMA NA JUMUIYA KUMCHUKULIA ZENDA HATUA ZA KINIDHAMU, MPAKA HAPO AMEKOSA MAADILI NA ANAPASWA KUSHUGHULIKIWA.

Huwezi kutenganisha utovu wake wa nidhamu na hicho kibabu slowslow, wote wapigwe chini tu.
 
wacha funza waule mzoga!
 
Nakushukuru, majibu haya ndiyo niliyokuwa namtahadharisha Shalifa Masuzu kuwa suala hili kulileta hapa ni sawa na kujichoresha. Hapa asilimia 99 ni wasiyoitakia mema CCM na ni utoto kuleta sredi kama hii hapa maana utaambulia matusi kama ulivyofanya


Magamba yanaruka na kukanyagana hadi raha.
 
Polepole huyu huyu wa Katiba mpya au kuna polepole mwingine ?

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Yani hii inaonyesha kiasi gani UVCCM ni vilaza mambo ya ndani ya chama unaleta kwenye mitandao ili iweje ndio mana poleple kaona hamfai na anawaluka kwenye mambo mengi kwasababu hamna busara hata kidogo.
 
Malizaneni kwa ngumi,uchawi,majungu,fitna mana ndio asili yenu uvccm,mkiona vipi mpelekane kwa polepole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…