Polepole tunakupata mitaa Gani Facebook, YouTube,au insta?

Ngoja nisubiri link hapa, nilikuwa sifahamu kama anazungumza...
 
Wenye link wa drop tafadhali 🙏
 
youtube na facebook wamekata. waoga sana hawa, yaani kijana mmoja tu kama polepole anawashtua hadi nchi nzima wanakata youtube na facebook? dawa yake polepole record, halafu rusha recorded muda wowote wiki ijayo huko.
 
kusema atasema lakini hakuna kitachobadilika mkuu -- ukweli ndo huu
 
polepole kamati hapohapo, kumbe wanakuogopa. kama wameacha hadi kukaa na familia zao wanavizia kufungia mitandao ili watu wasikusikie, basi wananchi ndio watataka kujua ni nini hicho serikali inazuia kusikia? tunataka kusikia icho wanachokiogopa, record, utaturushia any time siku zijazo wakijisahau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…