Polepole tuachie maamuzi yetu sisi kama wana Kigoma

mcoloo

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
918
1,401
Huyu katibu mwenezi wa ccm amekuwa na kauli nyingi zenye ukakasi, lakini mbaya na inayo tufikirisha kama wananchi hasa wa mkoa wa Kigoma ni hii ya kusema kuwa 2020 Zitto atafute Kazi ya kufanya na kwamba eti sisi wana kigoma tumesema kuwa kuwa hatumuelewi Zitto ( katika utendaji ).
Hivi nilini Polepole aliongea nasi tukamueleza habari hizo za kizushi ambazo ameamua kuzizusha, kama anachuki zake binafsi na Zitto aseme na wala asituhusise kwenye huo ujinga wake.
Polepole kwanza ni kiongozi asiye jitambua, ameingiza ccm kwenye kashfa nzito ya rushwa ya kununua wabunge na madiwani na kulisababishia Taifa hasara kubwa ya kufanya chaguzi za marudio .( anapaswa kufanya toba kwa dhambi kubwa kama aliyo tuanyia watanzania. )
Inashangaza ccm inayo jinadi kila siku kwa wananchi kuwa ni waadlifu bado wanafuga mtu wa hovyo kama Polepole ndani ya chama.
Na kwa taarifa tu ccm wapaswa kujua kuwa chuki ziliongezeka kwa ccm zinatokana na siasa za kishamba anazozifanya huyo Polepole.
Polepole alishafikia hata kuleta siasa za hovyo kabisa kwenye mikopo ya elimu ya juu.
Huyu huyu anadai kuwa kiongozi aweye yoyote katika nchi hii itabidi apitie kwenye chuo cha siasa ndo kiwe kigezo cha yeye kuajiriwa huo ni ujinga.
Ukweli ni kwamba kwa aina hii ya siasa za polepole kama hata kemewa atasababisha vurugu 2020 na lawama zitaielekea ccm.
Huyu polepole anadai kuwa 2020 chama hicho cha wezi na mafisadi wakubwa wanao linyonya taifa letu bila aibu kuwa watashinda kwa asilimia sabini na moja, sisi tunamkanya na aache wananchi wafanye maamuzi yao wenyewe na asianze kuwaingizia maneno masikioni mwao kuwa ccm itashinda kwa asilimia hizo, sisi tunaona mbali tunajua tu kuwa huo ni moja ya mikakati ya kutaka kuiba kura kwenye uchaguzi mkuu ujao.
Watanzania tunapaswa kwa umoja wetu tukemee juu upuuzi unaofanywa na huyu kibaka wa siasa.
Mungu ibariki Tanzania.
 
Ila ukweli usemwe. Ivi Kigoma mjini kipi tunaweza jivunia toka zitto awe muwakilishi wa mjini?
 
Huyo chakubanga ameshachanganyikiwa naona wadudu wameshapanda kichwani,angalia alivyopauka utafikiri kahaba aliyetoa mimba.
 
Unalitaka Jimbo la Kigoma mjini??
Hebu wewe tuambie ilichokifanya CCM miaka 50 mkiwa madarakani
Kwani si nyinyi mnaosema hamuwezi kupeleka maendeleo ktk majimbo ya upinzani??
CCM NI LAANA YA TAIFA
Hata matatizo yanayowahusu wafanyabiashara wa Kigoma zitto alikuwa kimya hayazungumziagi kama yule mzee alivyotiririka mbele ya JPM.
 
Tuache ushabiki wa vyama tuzungumze kama wana kigoma
Wewe ndio unaleta Uccm wako katika Masha yawatu wakandamizaji wa Demokrasia wauwaji mijizi midhulumati unalite ujinga wako hapa
PUMBAFF FROM JALALANI
 
Mada inahusu jimbo la Kigoma mjini. Tulijadiri hilo. Jambo gani Kigoma mjini tunaweza jivunia kwa zitto kuwa muwakilishi wetu?
 
Huyu katibu mwenezi wa ccm amekuwa na kauli nyingi zenye ukakasi, lakini mbaya na inayo tufikirisha kama wananchi hasa wa mkoa wa Kigoma ni hii ya kusema kuwa 2020 Zitto atafute Kazi ya kufanya na kwamba eti sisi wana kigoma tumesema kuwa kuwa hatumuelewi Zitto ( katika utendaji ).
Hivi nilini Polepole aliongea nasi tukamueleza habari hizo za kizushi ambazo ameamua kuzizusha, kama anachuki zake binafsi na Zitto aseme na wala asituhusise kwenye huo ujinga wake.
Polepole kwanza ni kiongozi asiye jitambua, ameingiza ccm kwenye kashfa nzito ya rushwa ya kununua wabunge na madiwani na kulisababishia Taifa hasara kubwa ya kufanya chaguzi za marudio .( anapaswa kufanya toba kwa dhambi kubwa kama aliyo tuanyia watanzania. )
Inashangaza ccm inayo jinadi kila siku kwa wananchi kuwa ni waadlifu bado wanafuga mtu wa hovyo kama Polepole ndani ya chama.
Na kwa taarifa tu ccm wapaswa kujua kuwa chuki ziliongezeka kwa ccm zinatokana na siasa za kishamba anazozifanya huyo Polepole.
Polepole alishafikia hata kuleta siasa za hovyo kabisa kwenye mikopo ya elimu ya juu.
Huyu huyu anadai kuwa kiongozi aweye yoyote katika nchi hii itabidi apitie kwenye chuo cha siasa ndo kiwe kigezo cha yeye kuajiriwa huo ni ujinga.
Ukweli ni kwamba kwa aina hii ya siasa za polepole kama hata kemewa atasababisha vurugu 2020 na lawama zitaielekea ccm.
Huyu polepole anadai kuwa 2020 chama hicho cha wezi na mafisadi wakubwa wanao linyonya taifa letu bila aibu kuwa watashinda kwa asilimia sabini na moja, sisi tunamkanya na aache wananchi wafanye maamuzi yao wenyewe na asianze kuwaingizia maneno masikioni mwao kuwa ccm itashinda kwa asilimia hizo, sisi tunaona mbali tunajua tu kuwa huo ni moja ya mikakati ya kutaka kuiba kura kwenye uchaguzi mkuu ujao.
Watanzania tunapaswa kwa umoja wetu tukemee juu upuuzi unaofanywa na huyu kibaka wa siasa.
Mungu ibariki Tanzania.
Huyo jamaa ni shida!
 
Polepole anatakiwa apingwe kwa hoja. Kuwa sisi zitto alituahidi kuwa atatufanyia 1,2,3,4.... Na kisha pambana na kutimiza 1,2,3 ambacho wana Kigoma mjini tunaweza jivunia
 
Mada inahusu jimbo la Kigoma mjini. Tulijadiri hilo. Jambo gani Kigoma mjini tunaweza jivunia kwa zitto kuwa muwakilishi wetu?
Jambo gani tunaweza kujivunia Watanzani kwa uongoz wa ccm?
Tuanzia hapo ili tuweze kujua nini na nani ttzo
 
Back
Top Bottom