chuki
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 2,715
- 534
Polepole kanishangaza sana, kaitafasiri sheria kinyume kabisa eti Bunge la Katiba halina Mamlaka ya kubadili chochote kwenye rasmu. Bunge ni chombo moja wapo katika mchakato huu, sawa, sasa kasahau kuwa Bunge ndilo linaloandika katiba? au kajisahau anadhani yeye bado ni kamishna wa Tume.
Poor you polepole una interest zako tu.
Poor you polepole una interest zako tu.