Polepole: Pesa za Corona zilitafunwa

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,713
Pesa za Corona mwaka 2021 wewe Kikwete ulikuwa rais mstaafu na kuheshimu sana ila mimi ndiye niliyekuwa mwenyekiti wa kamati ya utawala na Serikali ya mitaa ndio nilipitisha kwa mkono wangu pale bungeni Trilion 4 halafu hela ya Corona ilipokuja Trilion 1.3 mkatumia nje ya bajati kwa matumizi yaleyale yalipangiwa fedha zilitafunwa

Your browser is not able to display this video.
 
Mr Polepole Katiba mpya bora ni muhimu sana !
Hata wewe usingekuwa unazungumza huku umejificha kama ufanyavyo sasa !
Sema Rasimu ya Katiba ya Mzee Warioba irudishwe mezani. !
Hapo wengi tutakuelewa !
Lakini hizi blah blah za watu kula pesa Nchi hii tumeshazisikia mpaka tumechoka sasa !
 
Kuna watumishi wa kada ya afya walitakiwa kupewa pesa ya Corona wakati huo majina yao yakatoka yakabandikwa ukutani na mchanganuo wa pesa ukawekwa 😆
Na wakasainishwa kabisaaa

Lahaula hakuna pesa iliyotoka hata mia

Anayebisha aulizie kama nasema uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…