Habari wapendwa,
Kuna raia mtaani nimewasikia wakisema "wakiungana na kuanzisha chama watashinda"
Napenda kusema,watu hao hawajielewi na wapo katika kundi la "intellectual impairment" kwa sababu gani ?
(1). Wameshindwa kusoma alama za nyakati.
(2) Kutokana na uwezo mdogo (IQ) wa kuchambua mambo wanashindwa kujisimamia wao wenyewe "kiakili" yaani ni wale wa "kushikiliwa akili"
3. Wameshindwa kuwatofautisha hao 2 katika nyanja ya kiakili,kijamii na kiutamaduni.
Kutokana na tofauti zao kubwa miongoni mwao hawawezi kukaa chungu kimoja.
Nimalizie kwa hitimisho " Polepole amemuacha mbali sana Gwajboy na kwa suala la Urais nani anafaa naomba nipokee sm kwanza nitarudi baadaye kidogo.