Umesema kweli mkuu nakumbuka mbunge wetu wa jimbo mojawapo hapa dsm kalimwa taraka kisa umalaya lkn huyo polepole hayaoni hayoBahati mbaya binaadamu husongwa na tabia zake mwenyewe . Wanadhani wanavyofanya kwa wabunge wao wa CCM ndivyo na vyama vingine wanavyo fanya. Ni majuzi tu mbunge wa CCM amepigwa talaka bungeni humo kwa kuendekeza umalaya.
Nashauri katiba ibadilishwe na nafasi hizi zigombewe direct toka kwa wananchi kama wenzetu wa Kenya wanavyofanya. Ili kuondoa wenye mamlaka ndani ya vyama kuvitumia vibaya.
Kuna watu wanamuita ni kijana wengine wanamuita mzee sasa sijui yupi ni sahihiKwahiyo hiyo nafasi yake ya uenezi aliipata baada ya kushiriki ngono na Nani?? Au na mwenyekiti wake??,
Alivyokakamaa kweli yanasadifu, anatembea kama amekatwa center bolt!
Aiseee !!Umesema kweli mkuu nakumbuka mbunge wetu wa jimbo mojawapo hapa dsm kalimwa taraka kisa umalaya lkn huyo polepole hayaoni hayo
Pole Pole anakoelekea sasa amepitiliza.
Haiwagusi CHADEMA,bali wabunge wanawake.
Wakilinyamazia hili wabunge wote kwa ujumla wao,watakuwa wamepungukiwa pakubwa sana vichwani
Ifikie mahali watanzania kwa umoja wetu tuseme hapana kwa kitendo cha katibu mwenezi wa CCM Polepole kusema kuwa wabunge wa viti maalum cdm ili wapate nafasi hiyo ni lazima washiriki ngono na mwenyekiti wa CHADEMA
Huu ni udhalilishaji wa hali ya juu kwa wanawake wote wa Tanzania na popote pale ulimwenguni.
Watanzania tuupinge kwa nguvu zetu.
By mbunge Upendo Peneza bungeni Dodoma
View attachment 1075013
Atakuwa anakumbuka jinsi alivyo ukwaa huo ukatibu wake ndiyo maaana analitumia sana hilo neno mjinga sana yule
Ni wa chama gani?Umesema kweli mkuu nakumbuka mbunge wetu wa jimbo mojawapo hapa dsm kalimwa taraka kisa umalaya lkn huyo polepole hayaoni hayo