Enzymes
JF-Expert Member
- Feb 14, 2013
- 4,332
- 3,008
Nasikitika sn kuona kila mwenye mdomo hapa Tanzania ana uwezo kuongea chochote kihusucho serikali ya Tanzania.
Humphrey PolePole, ambae alikuwa ni mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba ya Jaji Joseph Warioba ana weza kuwa na uelewa mkubwa sana kuhusu misingi ya Katiba na Siasa ila si Mchumi mzuri wala si mtaalamu wa mambo ya Fedha.
Suala la yeye kuongelea MCC na USA na nchi kigeni zingine kujitoa kama wahisani wa Tz katika budget ya 2016/2017 kiasa bila kujali athari kwa Tz anampotosha Dr. John Pombe Magufuli.
Huyu kijina kwa sasa ana aminika sna na wanaCCM hata kwa uongo wowote atakao uongea kwenye media. HII NI HATARI SANA KWA TAIFA!!
Ikumbukwe kila taaluma inasomewa na sikukurupa tu. Hivyo basi naviomba vyombo vya habari mambo KIPIMA JOTO, MADA MAALUMU au MALUMBANO YA HOJA muwe mnawaita wataalamu wa mada husika siyo kualika wafuta viatu.
Cc: RC Paul Makonda-ww si mtaalumu wa Miundombinu ya Dar, achia watalaamu.