Polepole: Kwenye group letu la Viongozi mmoja wetu kasema waziwazi yeye ni mhuni kati ya wale waliobaki

Suzy Elias

JF-Expert Member
Nov 9, 2021
1,067
6,193
"...inashangaza sana,mfano tuna group letu la Viongozi ajabu mmoja wetu bila aibu amethubutu kabisa kusema yeye ni mmoja wa wahuni waliobakizwa na awamu ya 5."

"...INASIKITISHA sana!"

"...hata mimi naona aibu ya kwanini yule aliachiwa akafikia ngazi ya uongozi aliyonayo." Chanzo Dar 24.

Polepole.
 
Huyo ni Nape Nnauye ni muhuni sana ,bei ya korosho imeshuka kuliko miaka yao lakini yuko kimyaaa hatetei wapiga kura wake
 
Ccm wanakulana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…