Polepole, kuwa muungwana, nijibu haya

Polepole, kuwa muungwana, nijibu haya

Papa1

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2012
Posts
2,023
Reaction score
2,218
Kutokana na maelezo yako katika mjadala wa mada moto ya leo tarehe 24/8/2015, naomba nielimishe haya:

Umesema Nyerere aliwahi kutumia maneno aliyosema Mkapa kwamba wanaosema wanataka kumkomboa mtanzania ni wapumbavu na malofa, hivi maneno hayo nisawa na kusema ni wajinga? Nakumbuka Nyere alisema anatumia neno zuri kwamba ni "Wajinga", huyu anasema ni wapumbavu na malofa, maneno hayo yanafanana?

Umejaribu kuelezea nini Mkapa alimaanisha, kwamba CCM iliisha fanya ukombozi wa nchi, kilichobaki ni kuboresha maisha, kwamba kazi ya ukombozi iliishakwisha. Umesahau kuwa katika hotuba hiyohiyo na baada ya kuporomosha matusi yake, Mkapa alisema chama kinachoweza kumkomboa mtanzania kutokana na umaskini ni CCM, huo sasa ni ukombozi gani wakati wewe unasema kazi ya ukombozi uliisha kwisha? Sikiliza tena hotuba na utafakari.

Hivi Mkapa umekutana naye akakueleza alikuwa anamaanisha hicho unachowaeleza watanzania? Hiyo kazi kweli kakupa au umejitwisha?

Unasema CCM ni chama sikivu na kimeamua kuachana na mchakato wa katiba na kwamba kimegundua kuwa mchakato umegawa wananchi hivyo kinapanga kuurejesha mezani, Hiyo taarifa umeipata wapi? CCM imepata wapi mamlaka ya kusimamia mchakato wa katiba kwa kuurejesha mezani? Mbona jana Kikwete kaisifia katiba pendekezwa na kuwasifia akina Samia Suluhu walioisimamia ikapita, wewe hii taarifa unaitoa wapi? Naanza kuwa na mashaka na nia yako hapo channel 10.

Ukweli kutoka sakafu ya moyo wangu nilikupenda saana kwa hoja zako, lakini sasa naona shetani amekupenda zaidi. Lakini pamoja na hayo, nifafanulie ili uniondolee mawazo hasi dhidi yako yaliyojijenga kichwani kangu.
 
Hawezi fafanua kwa sababu ni mpumbavu channel 10 imepoteza credibility sasa hivi azam TV na Itv angalau
 
Alafu Polepole anashndwa kuelewa mwl nyrere alitumia neno wapumbavu mahala gan? Na wakat gan? Na kwania gan? Na mana gan ya wahusika ambao nyerere aliwatamkia hilo neno
 
Achana na huyo mpolipoli, ashazeeka akiwa bado na umri mdogo, maana sura yake ina reflect roho mbaya aliyonayo moyoni kwake! Kilicho cha msingi kwake ni malipo aliyopewa kutetea maslahi yake!
 
Kutokana na maelezo yako katika mjadala wa mada moto ya leo tarehe 24/8/2015, naomba nielimishe haya:

Umesema Nyerere aliwahi kutumia maneno aliyosema Mkapa kwamba wanaosema wanataka kumkomboa mtanzania ni wapumbavu na malofa, hivi maneno hayo
nisawa na kusema ni wajinga? Nakumbuka Nyere alisema anatumia neno zuri kwamba ni "Wajinga", huyu anasema ni
wapumbavu na malofa, maneno hayo yanafanana?

Umejaribu kuelezea nini Mkapa alimaanisha, kwamba CCM iliisha fanya ukombozi wa nchi, kilichobaki ni kuboresha
maisha, kwamba kazi ya ukombozi iliishakwisha. Umesahau kuwa katika hotuba hiyohiyo na baada ya kuporomosha matusi yake, Mkapa alisema chama kinachoweza kumkomboa mtanzania kutokana na umaskini ni CCM, huo
sasa ni ukombozi gani wakati wewe unasema kazi ya ukombozi uliisha kwisha? Sikiliza tena hotuba na utafakari.

Hivi Mkapa umekutana naye akakueleza alikuwa
anamaanisha hicho unachowaeleza watanzania? Hiyo kazi kweli kakupa au umejitwisha?

Unasema CCM ni chama sikivu na kimeamua kuachana na
mchakato wa katiba na kwamba kimegundua kuwa mchakato umegawa wananchi hivyo kinapanga kuurejesha mezani, Hiyo taarifa umeipata wapi? CCM imepata wapi
mamlaka ya kusimamia mchakato wa katiba kwa kuurejesha mezani? Mbona jana Kikwete kaisifia katiba pendekezwa na kuwasifia akina Samia Suluhu walioisimamia ikapita, wewe
hii taarifa unaitoa wapi? Naanza kuwa na mashaka na nia yako hapo channel 10.

Ukweli kutoka sakafu ya moyo wangu nilikupenda saana
kwa hoja zako, lakini sasa naona shetani amekupenda zaidi. Lakini pamoja na hayo, nifafanulie ili uniondolee mawazo hasi dhidi yako yaliyojijenga kichwani kangu.

Utakuwa humfahamu Polepole, hana kawaida ya kujibu
maswali, sembuse haya magumu uliyomuuliza!
Nami nilidanganyika kuwa ana fikra huru kumbe sivyo, nami pia nimejilaumu kwa kumwamini kiasi kile. Hata hivyo nimejifunza kuchukua tahadhari, "za kuambiwa nichanganye na zangu".
 
Alafu Polepole anashndwa kuelewa mwl nyrere alitumia neno wapumbavu mahala gan? Na wakat gan? Na kwania gan? Na mana gan ya wahusika ambao nyerere aliwatamkia hilo neno, tatizo maccm yanamnukuu mwl kimakosa sana na Mwlm Nyerere alsema tatizo leo maccm baada ya kuiga mema' yanaiga Mabaya
 
Huyo bwana sasa hivi anaifanyia kampeni CCM we unamwuliza maswali ambayo ukiyatizama vizuri hayatakisaidia CCM unafikiri atakujibu! hatakujibu wewe atakuacha hivyohivyo utajua mwenyewe.
 
Hiki kijamaa kipumbavu na kilofa na leo niliona kitanihaibia game ya Arsenal na Liverpool. Hakijui kodi zetu kupitia Tume ya Madaliko ya Katiba ndo tumekifaham. Sasa kinatumia vibaya fursa kiloipata. Tujiulize kabla ya kuteuliwa nani alikua anakifaham?

Uchaguzi utapita tutaonana mtaani huku. Leo wapo wanaokitumia. He is just stupid
 
Hoja kama hizi hajibu...Lakini kila mara utamsikia akidai eti yeye anajadilina kwa hoja !

Nilikuwa namuona wa maana sana na nilikuwa napenda kumsikiliza na hata kama nilikuwa mbali na Tv na akahappen kauwa kwenye Tv, na binti yangu akahappen kumwona atakimbia kuja kuniita sababu alijua napenda kumsikiliza.

Sasa hivi thamani yake kwangu inakaribia kuwa zero

Kutokana na maelezo yako katika mjadala wa mada moto ya leo tarehe 24/8/2015, naomba nielimishe haya:

Umesema Nyerere aliwahi kutumia maneno aliyosema Mkapa kwamba wanaosema wanataka kumkomboa mtanzania ni wapumbavu na malofa, hivi maneno hayo nisawa na kusema ni wajinga? Nakumbuka Nyere alisema anatumia neno zuri kwamba ni "Wajinga", huyu anasema ni wapumbavu na malofa, maneno hayo yanafanana?

Umejaribu kuelezea nini Mkapa alimaanisha, kwamba CCM iliisha fanya ukombozi wa nchi, kilichobaki ni kuboresha maisha, kwamba kazi ya ukombozi iliishakwisha. Umesahau kuwa katika hotuba hiyohiyo na baada ya kuporomosha matusi yake, Mkapa alisema chama kinachoweza kumkomboa mtanzania kutokana na umaskini ni CCM, huo sasa ni ukombozi gani wakati wewe unasema kazi ya ukombozi uliisha kwisha? Sikiliza tena hotuba na utafakari.

Hivi Mkapa umekutana naye akakueleza alikuwa anamaanisha hicho unachowaeleza watanzania? Hiyo kazi kweli kakupa au umejitwisha?

Unasema CCM ni chama sikivu na kimeamua kuachana na mchakato wa katiba na kwamba kimegundua kuwa mchakato umegawa wananchi hivyo kinapanga kuurejesha mezani, Hiyo taarifa umeipata wapi? CCM imepata wapi mamlaka ya kusimamia mchakato wa katiba kwa kuurejesha mezani? Mbona jana Kikwete kaisifia katiba pendekezwa na kuwasifia akina Samia Suluhu walioisimamia ikapita, wewe hii taarifa unaitoa wapi? Naanza kuwa na mashaka na nia yako hapo channel 10.

Ukweli kutoka sakafu ya moyo wangu nilikupenda saana kwa hoja zako, lakini sasa naona shetani amekupenda zaidi. Lakini pamoja na hayo, nifafanulie ili uniondolee mawazo hasi dhidi yako yaliyojijenga kichwani kangu.
 
Mlisema mnasusia mjadala kulikoni?chezea polepole!Huyo ndio adui WA mafisadi
 
Kilipotuhumiwa kuwa kilifukuzwa kazi baada ya embezzlement ya laki sita na kutumia ofisi vibaya kwa kutongozea mabinti kilianza kujitetea na Mhe. Msigwa akakiuliza kuwa unaona usivyowatendea haki wale ambao unawatuhumu ukijua hawapo hivyo hawana nafasi ya kujitetea. Hafu huwa kinalazimisha muda wa kuongea hafu na moderator wanakiachia.

Pia chanel 10 na Star Tv ni walewale. Hiki kizee kilishapoteza credibility ya kuwa discussant kwa kuwa ni kikada cha CCM hafu kinafichamia kwenye uwakilishi wa wananchi, mara issues za katiba. Kialikwe kwenye mijadala yenye representation ya vyama vya siasa. Jumapili kilivyokuwa Star Tv kilijitambulisha kuwa kinawakilisha wananchi kwny mjadala badala ya kusema kinawakilisha wanaCCM. Hata mimi ni mwananchi sikukituma kikaongee kilicho yaongea

Polepole is an enemy of the people if he does not change!
 
Nyie ndio mnampa kichwa Polepole. Kwanza hamjiulizi kwa nini kila wakati yeye you, ndio pekee aijuaye siasa? Mmwignore kabisa, don't comment about him ili ajione no body care about him anymore
 
Kwani Sugu alipomwita waziri mkuu mpumbavu mbona halikuwa tusi? Wote humu tulishangilia na kumuona shujaa. Iweje leo liwe tusi?
 
Kwani Sugu alipomwita waziri mkuu mpumbavu mbona halikuwa tusi? Wote humu tulishangilia na kumuona shujaa. Iweje leo liwe tusi?

Zinduka! uzi ni Polepole,-kwenye sherehe ya blues unacheza reggae-
 
Elimu ya polepole ni ya kukariri wala msimwandame. Hayo ndio matokeo ya mfumo wa elimu wa ccm
 
Mnavyomponda kesho akihamia ukawa hayo maneno yenu yatageuka kumsifia,watz sijui tukoje!!
 
Back
Top Bottom