Tetesi: Polepole kugombea urais October 2025

Chawa🚮🚮🚮🚮
 
La
Labda kupitia chauma
 
Kuchagua na kuchaguliwa ni haki ya kila mtanzania , ila mashaka ni chama kitakachompa jukwaa hilo.
Tusubiri tuone.
 
Siku hizi munawapa ubarozi wabadhirifu? Nani sasa msafi huko CCM.

Mama yako ni mbadhirifu mara milioni na zaidi. Asigombee kwa hiyo?
 
Yes, atagombea na CHADEMA wote watamuunga mkono
 
Habari ya kuletwa na Tlatlaah nitakuwa wa mwisho,kuithibitisha hiyo habari.
 
Muhuni asiye na mke wala mchumba agombee Urais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…